Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu jamaa huwa ni fyatuMh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Akiwemo yeye Godwin MollelTanzania Wajinga Ni Wengi Sana
By Godwin Mollel
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa anapokuwa anatoa kauli zilizo kinyume na usalama !Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Unanikumbusha enzi za ugomvi wa Tanzania na Idd Amin. Idd Amin aliomba akutanishwe na Rais wetu Nyerere kwenye ulingo wa masumbwi! Ati dd Amin afungwe mkono mmoja ili wazipige na Nyerere kuamua ugomvi kati ya Uganda wakati huo na Tanzania. Usemi huu ulimkasirisha sana sana Nyerere, kwa wale ambao waliwahi kumwona Nyerere kakasirika watanielewa. Lakini alingoja muda wa kumpa somo Idd Amin. Ndio maana Idd Amin alipoingia 18 za Jeshi letu tangulizi, walipoomba kibali kumalizana na Idd Amin, Nyerere alikuwa na hekima ya kuwakataza wasimpige risasi ili aishi ajifunze kitu. Leo mwakilishi wa Rais kwenye Jiji, kitovu cha siasa, kitovu cha wasomi, kitovu cha uchumi wa nchi anataka kuongoza kwa kutumia mabavu, kisha kuna watu wanaojua kusoma na kuandika wanamwuunga mkono, basi ujue nchi yetu ina tatizo la msingi kabisa. Ni tatizo la UONGOZI. Ujinga ndiyo unaongoza!I agree, 1000 percent, it comes from the top. President is whistling the dog.
Ningetamani sana kumuuliza Rais Samia na Marais wetu hata waliostaafu, ni nini au experince gani katika maisha ya nchi hii yaliyowafanya waone watu hawatawaliki bila nguvu, mikwara, virungu, rumande, imprisonments, mikwara kutwa kucha. Why the hell ??
Kanawe miguu nikutume mjiniNinyi ndio watu ambao mnapaswa kuchapwa ngumi na mh mpaka msahau viatu
Inabidi niombe mechi mtanange mimi na RC
Ni mwendo wa kubonda kichwa chake kile penye upara.
Jamaa anajifyatua tu ila deep down ni mtu poa sana.
Nipo Mkuu 🙏
Hii ni red flag. Huyu Chalamila anatakiwa awe chini ya uangalizi maalum na anyang'anywe silaha zote anazomiliki. Kuna siku atauwa watu mje muanze kusema "kuna siku alisema ataua watu"
Kazi ipo. Kumbe jeuri iko kweny mashine😆😆Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Ukipigwa wewe je? Au maumivu kwa nguruwe tu?Ni kuchapa tu ngumi na makofi majitu kama ya kina Mdude ni kupiga tu ngumi mpaka yanyooke na kushika adabu
Mbona Sabaya hamkusemaMajitu mapumbavu kama haya ni perfect reflection ya aliyewateua
Huwezi ukapigwa kama huna kosa na hata mh RC hajasema atapiga watu hovyo kama kichaa .Ukipigwa wewe je? Au maumivu kwa nguruwe tu?
Lucas epuka kiburi cha madaraka na uzima.
Mungu akusaidie sana
Labda kama wewe ndo hukusema.Mbona Sabaya hamkusema
Dah kaveli hadi nahisi wewe ni chalamila mwenyewe 🤣🤣
[emoji1787][emoji1787]Ni kuchapa tu ngumi na makofi majitu kama ya kina Mdude ni kupiga tu ngumi mpaka yanyooke na kushika adabu
[emoji1787][emoji1787]Hapana mkuu Evelyn, hisia zako hazijapatia.
Wacha wanaMzizima wachezee ndoige za chembe + kidevu, na wakizingua zaidi wanachomolewa mkwaju. [emoji1][emoji1][emoji1]
Daslamu imejaa wajuaji sana... inahitaji Kiongozi nginja nginja mwendokasi kama hivyo... no mguu kati, ni shimo na gear. [emoji38]
-Kaveli-
Khaaa🤣🤣🤣Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.
Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi mbatata hawezi akapigana hata na konda wa daladala. Atapigwa kama mwanamke aliyefumaniwa