RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Huyu jamaa huwa ni fyatu
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa anapokuwa anatoa kauli zilizo kinyume na usalama !
 
I agree, 1000 percent, it comes from the top. President is whistling the dog.

Ningetamani sana kumuuliza Rais Samia na Marais wetu hata waliostaafu, ni nini au experince gani katika maisha ya nchi hii yaliyowafanya waone watu hawatawaliki bila nguvu, mikwara, virungu, rumande, imprisonments, mikwara kutwa kucha. Why the hell ??
Unanikumbusha enzi za ugomvi wa Tanzania na Idd Amin. Idd Amin aliomba akutanishwe na Rais wetu Nyerere kwenye ulingo wa masumbwi! Ati dd Amin afungwe mkono mmoja ili wazipige na Nyerere kuamua ugomvi kati ya Uganda wakati huo na Tanzania. Usemi huu ulimkasirisha sana sana Nyerere, kwa wale ambao waliwahi kumwona Nyerere kakasirika watanielewa. Lakini alingoja muda wa kumpa somo Idd Amin. Ndio maana Idd Amin alipoingia 18 za Jeshi letu tangulizi, walipoomba kibali kumalizana na Idd Amin, Nyerere alikuwa na hekima ya kuwakataza wasimpige risasi ili aishi ajifunze kitu. Leo mwakilishi wa Rais kwenye Jiji, kitovu cha siasa, kitovu cha wasomi, kitovu cha uchumi wa nchi anataka kuongoza kwa kutumia mabavu, kisha kuna watu wanaojua kusoma na kuandika wanamwuunga mkono, basi ujue nchi yetu ina tatizo la msingi kabisa. Ni tatizo la UONGOZI. Ujinga ndiyo unaongoza!
 
Inabidi niombe mechi mtanange mimi na RC
Ni mwendo wa kubonda kichwa chake kile penye upara.

Jamaa anajifyatua tu ila deep down ni mtu poa sana.

Nipo Mkuu 🙏

Yep, Chalamila ni mtu poa sana. Hii mikwala yake watu waichukulie as ucheshi wake tu.

-Kaveli-
 
Hii ni red flag. Huyu Chalamila anatakiwa awe chini ya uangalizi maalum na anyang'anywe silaha zote anazomiliki. Kuna siku atauwa watu mje muanze kusema "kuna siku alisema ataua watu"

Pia Chalamila huwa ni mcheshi sana na masihara mengi by nature. Pengine hii ya kuzichapa ngumi na kuchomoa mkwaju ni mbambamba zake zile zile za masihara.

-Kaveli-
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Kazi ipo. Kumbe jeuri iko kweny mashine😆😆
 
Dah kaveli hadi nahisi wewe ni chalamila mwenyewe 🤣🤣

Hapana mkuu Evelyn, hisia zako hazijapatia.

Wacha wanaMzizima wachezee ndoige za chembe + kidevu, na wakizingua zaidi wanachomolewa mkwaju. 😄😄😄

Daslamu imejaa wajuaji sana... inahitaji Kiongozi nginja nginja mwendokasi kama hivyo... no mguu kati, ni shimo na gear. 😆

-Kaveli-
 
Hapana mkuu Evelyn, hisia zako hazijapatia.

Wacha wanaMzizima wachezee ndoige za chembe + kidevu, na wakizingua zaidi wanachomolewa mkwaju. [emoji1][emoji1][emoji1]

Daslamu imejaa wajuaji sana... inahitaji Kiongozi nginja nginja mwendokasi kama hivyo... no mguu kati, ni shimo na gear. [emoji38]

-Kaveli-
[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.

Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi mbatata hawezi akapigana hata na konda wa daladala. Atapigwa kama mwanamke aliyefumaniwa
Khaaa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom