RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Kiufupi chalamila hautaki ukuu wa mkoa ni vile tu analazimishwa, ndio maana haipiti siku anatoa maboko ili atumbuliwe lkn mtumbuaji hataki
Inasikitisha sana! Tuna vijana tele wanatafuta kazi masikini... ila kuna wasiojitambua wanamkazania mtu awe ambapo yeye mwenyewe hataki! Yaani jamaa hataki kazi ila analazimishwa na mapesa anakula... dahh! 😂😂😂🙌🏾

Hii rangi ina laana hii
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Huyo pimbi ni chalii wa DSM.
Hizo ngojera alimbe Kariakoo na azichape na moto mkubwa.
 
Ahahahahaahahahahahahahahhahahaah bro umenichekesha mno!

Chalamila huwa anachekesha sana kwakweli. Nahisi hajakutana na Watoto wa kitaa...yaani atafumuliwa kama Kuku!

Chalamila anaonekana kama alikuwa na tabia chafu sana utotoni na bahati Mbaya sana hakuwa kuzifanyia kazi namna ya kuziepa! Kuna siku nilikuwa kwenye Mkutano wake akasema 'mimi uniteue, unitumbue waala Sina habari' nikawaza aliyemteua anamuonaje!

Lakini kwenye argument yuko vizuri sana..kasoma philosophy zote nadhani!
Waliomteua nao wana matatizo! Kuna vijana tele wameenda shule na wana-deserve hiyo nafasi..., mbona wamemng'ang'ania huyo msema hovyo?!?! Walimsema sana bwana Paul Makonda ila naona bora hata ya Makonda, aliweza na alijua kutengeneza discipline na kuongoza kwa mbinu na mikakati. Huyo Chalamila ni CHIZI!
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Hana miiko ya kiuongozi.
 
Kaveli braza we are not asee...jioni hata viongozi wetu wanavyokumbatiana kwenye puuzi zao.

RC Chalamila msimchukulie serious sana. Huyo mwamba ni mtu wa mbwembwe na mikwala mingi. Ana style yake ya kuongoza.

Unadhani ni kweli kabisa anaweza chomoa mkwaju kwenye kadamnasi na kukichafua? 😄. Biti tu hizo mkuu, mbinu za kivita hizo kibongo bongo.

Ni mtu mcheshi sana by nature. Lakini kiuongozi ni mtu thabiti asiyeyumbishwa. Ni mtu wa kunyoosha.

-Kaveli-
 
RC Chalamila msimchukulie serious sana. Huyo mwamba ni mtu wa mbwembwe na mikwala mingi. Ana style yake ya kuongoza.

Unadhani ni kweli kabisa anaweza chomoa mkwaju kwenye kadamnasi na kukichafua? [emoji1]. Biti tu hizo mkuu, mbinu za kivita hizo kibongo bongo.

Ni mtu mcheshi sana by nature. Lakini kiuongozi ni mtu thabiti asiyeyumbishwa. Ni mtu wa kunyoosha.

-Kaveli-
Hakika....

UKWELI MTUPU [emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Waliomteua nao wana matatizo! Kuna vijana tele wameenda shule na wana-deserve hiyo nafasi..., mbona wamemng'ang'ania huyo msema hovyo?!?! Walimsema sana bwana Paul Makonda ila naona bora hata ya Makonda, aliweza na alijua kutengeneza discipline na kuongoza kwa mbinu na mikakati. Huyo Chalamila ni CHIZI!
Unaongea kitoto sana...

Unaongozwa na HISIA sanaaa....

Mh.RC Chalamila ni kiongozi mwenye maskhara tu....

Hizo ni mbinu zake.....na anafanikiwa.....

Jiji la Dar es salaam linahitaji maRC wenye HULKA yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mh RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View attachment 2767868

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-
Jamaa anafanana kama Ninja turtle
 
Unaongea kitoto sana...

Unaongozwa na HISIA sanaaa....

Mh.RC Chalamila ni kiongozi mwenye maskhara tu....

Hizo ni mbinu zake.....na anafanikiwa.....

Jiji la Dar es salaam linahitaji maRC wenye HULKA yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Jumbe brown banana.

Leo hujamalizia na mkwara wa signature yako siku

Simpre...
 
Back
Top Bottom