RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Nenda kalete vurugu uone cha mtema kuni utakavyo chapwa ngumi mchomoko mpaka uone nyota nyota zikiruka ruka usoni kwako.
Ile takataka haiwezi chochote. Angalia mwili wake hauna uwiano kati ya kichwa na kifua. Miguu yenyewe yote ya kushoto
 
Ile takataka haiwezi chochote. Angalia mwili wake hauna uwiano kati ya kichwa na kifua. Miguu yenyewe yote ya kushoto
Najuwa unaongea kwa kuwa upo kwenye feki ID .Kama unajiamini nenda kalete fyoko jijini ili utenguliwe vimiguu vyako.
 
😀😀😀😂😂😂😂 Kuna watu mmepinda 🙌🙌
Hatujapinda mkuu. Wewe muangalie Chalamila lile umbo lake kama Mzee Meko wa kwenye Sani. Sasa yule anaweza kumpiga nani? Miguu yale yote ya kushoto
 
Hakuna mkamilifu,,kila mtu ana madhaifu yake so Chalamila hawezi kuwa kama alivo Kunenge ama Makala mvumilieni tu

Mimi pia nina hulka hizo nadhani ningekuwa na madaraka, viongozi wazembe na wala rushwa hasa idara ya elimu ningewanyoosha na kila siku kwenye sala zao wangeomba Mungu aniondoe

Hii nchi inahitaji mkono wa chuma kwa sababu wengi hatujitambui yaani jambazi anaua sasa hapo unataka tufanye nini?

Fikiria wale majambazi waliomvamia wakala na ndugu yake kule Njombe wakawatoa uhai ni maumivu kiasi gani familia wanayapata?

Narudia tena ningekuwa nina madaraka wezi ,,majambazi,,waonezi wala rushwa na wavivu wangelimia meno madam wote tutakufa hatuna budi kujenga Taifa imara na tukaacha kizazi kinachojitambua,,

Viongozi wapolewapole hawa hawawezi kutuvusha zaidi ya kutudidimiza tu,,mtu anatoka hadharani na kusema tunabinafsisha bandari kwa sababu kuna wizi,,,wakati magereza zipo,,

Tuna Taifa ka kubembelezana kiasi kwamba wazazi wanalialia hata kuchangia chakula cha watoto wao,,huwezi kutukanwa kama unafuata sheria na kanuni,,
 
Tunakaa hapa tunaanza kuomba mtu atumbumiwe hata akitumbuliwa hakuna tija yeyote ambayo tutaipata ,,tuache kupenda kubembelezana,,
Watu wanaiba kisha wanatishia kurudisha kadi za chama,,yaani mimi kama nakuwa katibu wa chama wanachama wanaoliibia Taifa kwa mgongo wa chama,,,nafuta kadi zao na kufuatilia cash flow kwenye akaunti zao ili kujiridhisha kama walishiriki kuliibia Taifa au la

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
[emoji15][emoji15][emoji15]
Uongozi upo kila mahala....

"Style" ya kuongoza haiwi moja....

Mh.RC Chalamila anaendana na jiji la Dar es salaam.....

Ukipenda sana kutanguliza HISIA KOKO ujue UTACHUMBIWA....[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kukosa maadili nayo ni staili ya kuongoza?ngoja nikupe mfano viongozi uingereza unasikia kila siku wanajiuzulu sio kwamba ni viongozi wabaya ila ni kwa sababu ya maadili mfano skendo ya ngono,Rushwa Nk.wazungu wanathamini sana viongozi wao wawe na maadili kwa sababu wanajua viongozi wasio na maadili wataharibu nchi.
 
Waliomteua nao wana matatizo! Kuna vijana tele wameenda shule na wana-deserve hiyo nafasi..., mbona wamemng'ang'ania huyo msema hovyo?!?! Walimsema sana bwana Paul Makonda ila naona bora hata ya Makonda, aliweza na alijua kutengeneza discipline na kuongoza kwa mbinu na mikakati. Huyo Chalamila ni CHIZI!
Anakwambia kama unajiakini njooo tuzichape kwanza..

Aliporipot kama RC wa mkoa wa Dar, alisema alikuwa ananunua wauza fyoko akiwa mwanafunzi zaman siku Moja akamnunua mama mmoja walipoenda kufyokoana akaona mama ana jambia Wacha jamaa akimbie kama ndege za Su 35
 
Anakwambia kama unajiakini njooo tuzichape kwanza..

Aliporipot kama RC wa mkoa wa Dar, alisema alikuwa ananunua wauza fyoko akiwa mwanafunzi zaman siku Moja akamnunua mama mmoja walipoenda kufyokoana akaona mama ana jambia Wacha jamaa akimbie kama ndege za Su 35
Wamfuatilie rekodi zake huyu... huenda hayuko timamu
 
Yoo shutup man, hujui hata role ya kiongozi
Kiongozi gani anaropoka trash? Eti public figure?
Urudi shule ww na huyo jamaa ako empty heads
Lakini hii si ndo tone mnayoipenda...tone ya kimagufuli magufuli...

Kuna kenge mmoja aliwahi sema angecharaza walimu Viboko Mei Mosi..
 
Lakini hii si ndo tone mnayoipenda...tone ya kimagufuli magufuli...

Kuna kenge mmoja aliwahi sema angecharaza walimu Viboko Mei Mosi..

No sio wote wanaipenda that including me.
Kiongozi unatakiwa ujue nn cha kuongea na wapi pa kuongea.

Busars mdomoni, matendo ndio yadhihirishe zaid kuwa umemaanisha
 
Analazimisha kutumbuliwa, nitashangaa kama mamlaka zitaendelea kusitasita kumtumbua.
Haogopewi kama anavyojitapa.Kuna mwenzake wa chama kule znz alitamka ovyo kama hivyo miezi michache akaona cha mtema kuni.
 
Yep, Chalamila ni mtu poa sana. Hii mikwala yake watu waichukulie as ucheshi wake tu.

-Kaveli-
Yeah
Kipindi cha Mzee pombe ,wakati yupo kule mkoani kwetu niliwahi Onana naye.
He's very kind ..ubinadamu mwingi.

Sema huu mkoa wa Dar bila kujifyatua akili hutoboi😝
Muache ajifyatue tu hivyohivyo 🤣
Mie namchukulia km comedian.
 
Yeah
Kipindi cha Mzee pombe ,wakati yupo kule mkoani kwetu niliwahi Onana naye.
He's very kind ..ubinadamu mwingi.

Sema huu mkoa wa Dar bila kujifyatua akili hutoboi😝
Muache ajifyatue tu hivyohivyo 🤣
Mie namchukulia km comedian.

wanaMzizima ujuaji mwingi mno. Inabidi sometimes Kiongozi ajifyatue kidogo ili kuweka mambo sawa.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom