Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalii huyo, tunasubiri apigwe tsnchi, na sasa hivi ataanza kuimba nyimbo za injili!Moto k/koo tayari ushadhibitiwa, chini ya uongozi mahiri wa Mh RC Chalamila.
-Kaveli-
Ile takataka haiwezi chochote. Angalia mwili wake hauna uwiano kati ya kichwa na kifua. Miguu yenyewe yote ya kushotoNenda kalete vurugu uone cha mtema kuni utakavyo chapwa ngumi mchomoko mpaka uone nyota nyota zikiruka ruka usoni kwako.
Ndy manakeKwamba kabobo miiingi lakini vitendo sifuri? yaani 'kuzichapa kwa Bluetooth' a.k.a mikwala mbuzi?
-Kaveli-
Najuwa unaongea kwa kuwa upo kwenye feki ID .Kama unajiamini nenda kalete fyoko jijini ili utenguliwe vimiguu vyako.Ile takataka haiwezi chochote. Angalia mwili wake hauna uwiano kati ya kichwa na kifua. Miguu yenyewe yote ya kushoto
Hatujapinda mkuu. Wewe muangalie Chalamila lile umbo lake kama Mzee Meko wa kwenye Sani. Sasa yule anaweza kumpiga nani? Miguu yale yote ya kushoto😀😀😀😂😂😂😂 Kuna watu mmepinda 🙌🙌
Kwa hiyo kukosa maadili nayo ni staili ya kuongoza?ngoja nikupe mfano viongozi uingereza unasikia kila siku wanajiuzulu sio kwamba ni viongozi wabaya ila ni kwa sababu ya maadili mfano skendo ya ngono,Rushwa Nk.wazungu wanathamini sana viongozi wao wawe na maadili kwa sababu wanajua viongozi wasio na maadili wataharibu nchi.[emoji15][emoji15][emoji15]
Uongozi upo kila mahala....
"Style" ya kuongoza haiwi moja....
Mh.RC Chalamila anaendana na jiji la Dar es salaam.....
Ukipenda sana kutanguliza HISIA KOKO ujue UTACHUMBIWA....[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe chawa , nataka nianze na wewe ngoja nimtafute promota ili tukukutana nikuchape ndiyo nimfuate huyo mnyaluAcha blaa blaa wewe utavunjwa miguu tu hiyo uanze kubebwa kama mbuzi epelekwaye machinjioni.
Anakwambia kama unajiakini njooo tuzichape kwanza..Waliomteua nao wana matatizo! Kuna vijana tele wameenda shule na wana-deserve hiyo nafasi..., mbona wamemng'ang'ania huyo msema hovyo?!?! Walimsema sana bwana Paul Makonda ila naona bora hata ya Makonda, aliweza na alijua kutengeneza discipline na kuongoza kwa mbinu na mikakati. Huyo Chalamila ni CHIZI!
Pale Tandale Ma(n)garibi ndani ndani huwa wanauza soup ya mapupu Ina rangi ya udhurungi!Gongo + misosi duni
Wamfuatilie rekodi zake huyu... huenda hayuko timamuAnakwambia kama unajiakini njooo tuzichape kwanza..
Aliporipot kama RC wa mkoa wa Dar, alisema alikuwa ananunua wauza fyoko akiwa mwanafunzi zaman siku Moja akamnunua mama mmoja walipoenda kufyokoana akaona mama ana jambia Wacha jamaa akimbie kama ndege za Su 35
Lakini hii si ndo tone mnayoipenda...tone ya kimagufuli magufuli...Yoo shutup man, hujui hata role ya kiongozi
Kiongozi gani anaropoka trash? Eti public figure?
Urudi shule ww na huyo jamaa ako empty heads
Lakini hii si ndo tone mnayoipenda...tone ya kimagufuli magufuli...
Kuna kenge mmoja aliwahi sema angecharaza walimu Viboko Mei Mosi..
Haogopewi kama anavyojitapa.Kuna mwenzake wa chama kule znz alitamka ovyo kama hivyo miezi michache akaona cha mtema kuni.Analazimisha kutumbuliwa, nitashangaa kama mamlaka zitaendelea kusitasita kumtumbua.
YeahYep, Chalamila ni mtu poa sana. Hii mikwala yake watu waichukulie as ucheshi wake tu.
-Kaveli-
Yeah
Kipindi cha Mzee pombe ,wakati yupo kule mkoani kwetu niliwahi Onana naye.
He's very kind ..ubinadamu mwingi.
Sema huu mkoa wa Dar bila kujifyatua akili hutoboi😝
Muache ajifyatue tu hivyohivyo 🤣
Mie namchukulia km comedian.