jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Naona unajipigia debe.Ana talanta nyingi sana huyo mwamba.
Long live RC Chalamila.
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unajipigia debe.Ana talanta nyingi sana huyo mwamba.
Long live RC Chalamila.
-Kaveli-
Hata kama ndo hivyo kwani lazima uropoke na huku unalipwa na hao hao unaowatukana?Wabongo bila kuwapeleka mwendo wa Bus wanakuona lonya tu.
-Kaveli-
Naona unajipigia debe.
Hata kama ndo hivyo kwani lazima uropoke na huku unalipwa na hao hao unaowatukana?
Au hujui kodi zetu ndo zinawafanya muende choo?
Haiwezekani usiwe yeye. Hana chawa wa namna hii/Mimi siyo Chalamila, na wala sifahamiani naye.
Natoa maoni yangu tu binafsi. Ni mitazamo tu usijenge chuki. 😎
-Kaveli-
Hapo ndio tunaona utofauti wa huku na kule kwa RutoMteule wa rais huyo anaongea hivyo halafu bado tu yuko kazini kutukana wananchi ambao hawakumchagua.
System ya hovyo sana tuliyonayo na ndiyo maana hata mwendazake makosa yalikuwa haya haya system mbovu.
Hovyo kabisa.
RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!
Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...
View: https://x.com/jamiiforums/status/1708484384708243476?s=46
Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.
-Kaveli-
Yupo chugaAtulie tu hilo jiji ni gumu, Makonda na mikwara yake yote sasa hivi kiko wapi🐒