RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Wabongo bila kuwapeleka mwendo wa Bus wanakuona lonya tu.

-Kaveli-
Hata kama ndo hivyo kwani lazima uropoke na huku unalipwa na hao hao unaowatukana?

Au hujui kodi zetu ndo zinawafanya muende choo?
 
Naona unajipigia debe.
Hata kama ndo hivyo kwani lazima uropoke na huku unalipwa na hao hao unaowatukana?

Au hujui kodi zetu ndo zinawafanya muende choo?

Mimi siyo Chalamila, na wala sifahamiani naye.

Natoa maoni yangu tu binafsi. Ni mitazamo tu usijenge chuki. 😎

-Kaveli-
 
Wakipewa ukuu wa mkoa wa Dar lazima akili inawafyatuka kidogo!
Ni shida kuzidi maelezo!
 
Mimi siyo Chalamila, na wala sifahamiani naye.

Natoa maoni yangu tu binafsi. Ni mitazamo tu usijenge chuki. 😎

-Kaveli-
Haiwezekani usiwe yeye. Hana chawa wa namna hii/
 
Mteule wa rais huyo anaongea hivyo halafu bado tu yuko kazini kutukana wananchi ambao hawakumchagua.

System ya hovyo sana tuliyonayo na ndiyo maana hata mwendazake makosa yalikuwa haya haya system mbovu.

Hovyo kabisa.
Hapo ndio tunaona utofauti wa huku na kule kwa Ruto
 
RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.

Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote!

Video hii hapa, inatrend huko mitandaoni kwa kasi ya fighter jet...

View: https://x.com/jamiiforums/status/1708484384708243476?s=46

Long live mwamba Chalamila. Anayekuzingua, mzingue. Kazi iendelee.

-Kaveli-

Mwamba huwa ana kauli tata sana toka akiwa Mby,Mwz na hata kwenye ile ajali ya ndege kuanguka ziwa victoria bukoba airport mwamba aliposhauliwa wavunje kwa pilot waokoe waliokwama kwenye ndege alisema wako salama na kila kitu kinaratibiwa vizuri mwisho wa.siku wakafa wote.
Pamoja na mapungufu ya mwendazake lakini bado kuna vitu alikuwa anavipatia sana.
 
Back
Top Bottom