stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Kabisa.Dsm iko kwenye auto mode
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Dsm iko kwenye auto mode
asa hapo kaongelea kuhusu nini?jaribu kwenda mbali kidogo tafsiri yake ni nini?Mbona mfano wako ni irrelevant na context iliyopo kuhusu dini na siasa?
Kuchekesha sio utotoMpaka unaambiwa upunguze utoto Ina maana hujakomaa kiakili
Mada za kipuuzi zile zile.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Imani inasajiliwa na Serikali?Mada za kipuuzi zile zile.
Hakuzungumzia chochote kuhusu serikali kujiingiza kwenye dini?
Anajua imani ni nini? Yeye anaona "kanisa" au (misikiti (hakuizungumzia)) ndiyo imani?
Ni wapi duniani alipowahi kuona serikali ikifuta dini?
Viongozi wenye akili pungufu kichwani kama hawa ndio tuwategemee kuongoza jitihada zetu kuleta maendeleo?
Milembeeeh medical healthyRC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema [emoji3][emoji3]
Sasa unaniuliza swali hilo mimi, kwa nini usiliwasilishe huko kunakohusika.Imani inasajiliwa na Serikali?
Hadi mje kuamka nyama zote zishaliwa,,,,, Vatican inasujudiwa na makapuku tu....... Kwingine wanaipa heshima kama tawala zingine za duniaYatafungwa yote ila sio la ROMAN CATHOLIC kauli moja tu kutoka vatican nchi huanguka wafalme husujudu
Misikiti na Makanisa ni NGOs tu 😄Sasa unaniuliza swali hilo mimi, kwa nini usiliwasilishe huko kunakohusika.
Kwani kanisa au msikiti ni kitu gani. Vipo kwa minajili ipi?
Atavifuta ili iweje?
Huyo bwana mdogo Chalamila ndio lilelile kundi la walevi,Hv mlevi akilewa mnaweza mkaelewana lugha gani .huyo dogo Aendelee kuota ndoto za mchana maana bado umri unamruhusu.Miaka ya kufunga makanisa na misikiti ilishapita zamani CCM wajaribu waone kama hawataamka wakajikuta ni chama cha upunzani.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Chalamila ni pasta mimi mm nilidhani ni mkuu wa mkoa kumbe ni pasta.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Chalamila kenge ambae yuko kwenye ubora wake.kujipendekeza oyeeeeeeeeeeeeee.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Kama unaelewa hivyo, itasaidia kitu gani kufuta hizo NGO na kuacha miziz yake ikishamili!Misikiti na Makanisa ni NGOs tu 😄
Ndio sababu amewakumbusha wasisahau kuwa Msajili wao ni Serikali
Imani ni kama ile ya Nikea kwa waprotestanti au Nasadiki kwa wale wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀😀 🔥
Mpumbavu tu, hajui kuwa tofauti ni location tu, watu ni walewale, ni kichaa peke yake abatedhani kuwa kuta za nyumba za ibada ndiyo diniRC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Uwe unaelewa..hicho alichokifanya huko Kanisani, kuhudhuria Ibada kama Mkuu wa Mkoa, na sio muumini wa kawaida, sio kuchanganya dini na siasa?