RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kwa hiyo utulivu wa serikali sio utulivu wa kanisa?

Hapo hapo anaongea akiwa kanisani??😆😆😆
 
Kituko kingine.....
Hakika Chama kimepoteza muelekeo...
Mafisadi wakiguswa wanalipuka kama petroli.

Jpm aliwasumbua sana akina Kakobe, Padr Ray Saba, Askofu Niwemugizi na wengine akina Mtume Mwingira......Mungu wa rehema adumu milele.

Chalamila anajidai nini hasa? Ni madaraka tu au kuna kingine?

Mungu wa mbinguni ndiye Baba wa Siasa zote na mifumo yoote ya utawala.

Chama cha siasa cha Mbunguni ni bora kuliko chama cha ccm
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Pumbafu kabisa huyu.

Angeyasema hayo kwenye vikao vya siasa na siyo kwenye madhabahu.

Huyu ni aina ya kiongozi asiye na maono wala hekima
 
HHata
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Hata yeye hapo kanisani mbona anachanganya dini na siasa?
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema 😀😀
Shida yote hii ya nini? Kwa nini asilitaje dhehebu la dini linalofanya uchochezi au kuchanganya dini na siasa na hata kulifuta? Hizi 'blanket statements' hazina effects yotote. Futeni dhehebu la dini linalochanganya dini na siasa na futeni dhehebu la dini linalifanya uchochezi.
 
Hii nchi Ina wajinga wengi ndo maana hata maendeleo yetu pia yanachelewa
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema 😀😀
He is daft
 
Mwambieni Mwachalamila, hata kuwaza tu kufunga makanisa Mungu ameshaondoa kinara au taa ya uongozi kwake.

Asome Bible aone walichofanyiwa wana wa Kora.
 
RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia

Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote

Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali

Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi

Nawatakia Sabato Njema [emoji3][emoji3]
Hakuna anayeweza kuuzima moto wa injili, hata leo hii watawala wa dunia waamue kufuta usajili wa makanisa bado injili itahubiriwa tu. Kwa hiyo RC asilete propaganda hapa.
 
Back
Top Bottom