Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwa hiyo utulivu wa serikali sio utulivu wa kanisa?Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
ππππMimi nimeelewaUse unaelewa
Kinachokatazwa ni kuchanganyΓ Dini na Siasa
Ila kuchanganyΓ Siasa na Dini siyo tatizo
Mafisadi wakiguswa wanalipuka kama petroli.Kituko kingine.....
Hakika Chama kimepoteza muelekeo...
Iyo taasisi ya mashoga Wachache tutaifutaHamna ubavu wa kiufuta RC hapa nchini. Ni rahisi mno kuifuta CCM kuliko kuifuta RC.
Masaburi yakoRroma ndio Nini?
Amesema atafuta makanisa tu sio misikiti? πππYani chalamila ndio aipige bit TEC?
Kwann wasipigwe biti hao nmbwaYani chalamila ndio aipige bit TEC?
Pumbafu kabisa huyu.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema ππ
Hata yeye hapo kanisani mbona anachanganya dini na siasa?RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema ππ
Shida yote hii ya nini? Kwa nini asilitaje dhehebu la dini linalofanya uchochezi au kuchanganya dini na siasa na hata kulifuta? Hizi 'blanket statements' hazina effects yotote. Futeni dhehebu la dini linalochanganya dini na siasa na futeni dhehebu la dini linalifanya uchochezi.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema ππ
Hata ww mchepuko wa viongozi majizi ya kura una jeuri hiyo?Iyo taasisi ya mashoga Wachache tutaifuta
Kkanisa la Rc lifutwe nchini litaleta machafu
Hawaijui THE ROMAN EMPIRE.Kiongozi yoyote duniani ajaribu kulifunga kanisa Katoliki tuone itakuwaje!!
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
He is daftRC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema ππ
Hakuna anayeweza kuuzima moto wa injili, hata leo hii watawala wa dunia waamue kufuta usajili wa makanisa bado injili itahubiriwa tu. Kwa hiyo RC asilete propaganda hapa.RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia
Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote
Chalamila amesema haipendezi kuona Kanisa linajiingiza kwenye Siasa na Kufanya Uchochezi kwani Utulivu wa Kanisa ndio Utulivu wa Serikali
Kanisa lisiwe kama vyama vya Siasa ambavyo baada ya kuruhusiwa Kufanya Mikutano badala ya kuhubiri Sera Zao wao wanaporomosha Matusi
Nawatakia Sabato Njema [emoji3][emoji3]