Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe pesa alizozidisha, ameyasema hayo leo Oktoba 7, 2026.
Ila Kwa Kwa kweli ukiwatizama Viongozi wa sasa wanashangaza sana. Yani wengi wao Wala hawajishughulishi na kuwatumikia Wananchi Bali kufukuzia ulaji tu.
Kwani mfumo wa kuwapata siku hizi upoje?