RC Chalamila: Rais Samia amewaona waliodandia Treni

RC Chalamila: Rais Samia amewaona waliodandia Treni

Hiyo ni sawa na kumwambia Rais kuwa alikosea kumchagua yeye kuwa mkuu wa Mkoa. Yaani hata wanaodandia treni, mpaka waonwe na Rais. Bila ya kuonwa na Rais, maana yake hawezi kufanya kitu.
 
Le chawa pro max li hamnazo flani hivi zee la kupuyanga na kuropoka bila mpangilio, anaekula Kodi bure
 
Yaani huyu ndiye kiongozi mkubwa wa Serikali ,ngazi Mkoa..tena Mkoa Mama..hakika tunasafari ndefu ya kufika kwenye maendeleo ya kweli ya Watu!
 
Mheshimiwa Rais Samia ameona Watu ambao wanadandia hii treni na alipokuwa ameona hilo na ndiye aliyeniambia ebu fuatilia hilo, hiyo treni ikoje kwahiyo mguu huu ni mguu wa Rais Samia Suluhu Hassan yeye ndiye aliyeliona hilo na ameona Watu wakidandia usiku usiku na nimekuwa nikipigiwa simu
Mjinga sana, kwahiyo bila Rais kuona asingezungumza wala kwenda kutafuta kero,
 
Back
Top Bottom