Mheshimiwa Rais Samia ameona Watu ambao wanadandia hii treni na alipokuwa ameona hilo na ndiye aliyeniambia ebu fuatilia hilo, hiyo treni ikoje kwahiyo mguu huu ni mguu wa Rais Samia Suluhu Hassan yeye ndiye aliyeliona hilo na ameona Watu wakidandia usiku usiku na nimekuwa nikipigiwa simu