Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam
RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
Pia Soma
www.jamiiforums.com

Mkuu wa Mkoa Chalamila: Wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuta yake
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe. --- Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya...