RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

Yaani kiongozi anakosa hekima anakuwa kama mhuni wa mtaani tu.
Hao wezi wanaowakamata wanatakiwa kufikishwa mahakamani ndipo maamuzi ya kisheria na haki yalipo.

Ni sawa na kuwaambia watu wa Dar es salaam kuwa watuhumiwa wa wizi wauawe bila hata kufikishwa mahakamani.
Anahamasisha na kuhalalisha wananchi kujichukulia sheria mkononi, hatari sana hii.
 
Unakuta kuna watu wanamponda huyo kiongozi...
Means mnatetea hao wezi au...?

Kuna watu mna mavi kichwani...
 
Hivi mtu akiharibu transformer ni watu wangapi wanaathirika directly and indirectly, hapo ndo maana haswa ya ubaya ubwela
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam

RC Chalamila amesema hayo katika ufunguzi wa kongamano la 10 la Jotoardhi linalooendelea katika ukumbi wa mikutano wa JNICC, jijini Dar es salaam, lililofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Oktoba 23, 2024.
View attachment 3133318

Pia Soma

Huyu mzee! Hii si jinai🤣
 
Hii safi sana, nimeipenda. Si waliiba wayatumie? Wayanywe sasa mpaka waharishe maini. Shenzi taipu.
 
Hii safi sana, nimeipenda. Si waliiba wayatumie? Wayanywe sasa mpaka waharishe maini. Shenzi taipu.
 
Ngoja chadema wamsikie wanaenda kufungua kesi ICC
 
Hii safi sana, nimeipenda. Si waliiba wayatumie? Wayanywe sasa mpaka waharishe maini. Shenzi taipu.
 
Ila ahojiwe ameuwa pia wangapi kwa kuwapa hayo mafuta wanywe?
Hawa ndio viongozi wwnaofurahia masikini wakikamatwa na dumu la asali porini wakinyweshwa mpaka kufa
Nasikitika kusikia kiongozi akifurahia mauwaji haya na yeye akiwemo daa
 
Back
Top Bottom