RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

Ukiona hadi Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa anafanya vitu vya aibu Kwa kiwango hichi, je wale MaRPC na Wasiojulikana watafanya nini??

Utasema hajui Mahakama zipo Kwa kazi gani, kama yeye mwenyewe RC anaamua kuua Wezi Kwa style hiyo 🙌
 
Huyu mtu kweli kichwani bado Yuko mzima???
Mtu kuugua kichaa siyo lazima mpaka avae chupi kichwani, wakati mwingine matendo au maneno yake tu ni uthibitisho tosha kuwa mtu fulani anaugua kichaa.
Baada ya kusikia matamshi ya huyu kichaa makamu wa Rais alijibu nini kwenye hotuba yake? Au ndio kama wasemavyo wahenga kuwa “ Ndege wafananao huruka pamoja!”
 
Huyu comedian simuelewagi ila katika hili yupo sahihi, ukivunja sheria huna haki tena
Are you out of mind?

Sidhani kama una utulivu kichwani mwako, I'm not sure.

Hata Watuhumiwa ambao tayari wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na ambao bado wanaendelea kusubiri utekelezaji wa adhabu zao nao pia bado Wana haki zote kabisa za binadamu.

Hata Mkataba wa Kimataifa kuhusu Haki za Binadamu unatamka wazi kwamba:-
"Every prisoner must be fed."
 
Hiyo kauli tu ilitakiwa atenguliwe huo ukuu wa mkoa..
Ikiwa unaweza kumnywesha mtu mafuta ya transformer basi hawezi kushindwa kuuwa mtu kwa aina nyingine ya mateso pia.
 
Eb toa porojo zako hapa yaan uibe transfoma watu wakose huduma ukidakwa useme Kuna haki za binadamu?
 
Kuna mda ili mambo yaende inabidi iwe hivo

Hamna kateleza huyo

Nchi bado haina mifumo sahihi ya kutoa haki


Hata kipindi cha panya road waliua watu wengi ambao hawakuwa wezi wa vibaka

So hagujawa na vyombo thabiti vya kuotafuta haki

Unaweza kusingiziwa na ukauliwa kizembe.

Kama ulivyoona kifo cha Mandojo
 
Huo msemo wa huo mwandishi aliyesema "tulimuua mungu ili tuwe mungu sisi" unahisianaje na hayo anayoelezea hapo ya mafuta ya transfoma??
 
Kusingiziwa ni rare kwenye matukio kama hayo.
Kwenye suala la panya road kama walioshughulikiwa hawakua wahusika kwanini yale matukio yaliisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…