RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

Anahamasisha na kuhalalisha wananchi kujichukulia sheria mkononi, hatari sana hii.
 
Unakuta kuna watu wanamponda huyo kiongozi...
Means mnatetea hao wezi au...?

Kuna watu mna mavi kichwani...
 
Hivi mtu akiharibu transformer ni watu wangapi wanaathirika directly and indirectly, hapo ndo maana haswa ya ubaya ubwela
 
Huyu mzee! Hii si jinai🤣
 
Hii safi sana, nimeipenda. Si waliiba wayatumie? Wayanywe sasa mpaka waharishe maini. Shenzi taipu.
 
Hii safi sana, nimeipenda. Si waliiba wayatumie? Wayanywe sasa mpaka waharishe maini. Shenzi taipu.
 
Ngoja chadema wamsikie wanaenda kufungua kesi ICC
 
Hii safi sana, nimeipenda. Si waliiba wayatumie? Wayanywe sasa mpaka waharishe maini. Shenzi taipu.
 
Ila ahojiwe ameuwa pia wangapi kwa kuwapa hayo mafuta wanywe?
Hawa ndio viongozi wwnaofurahia masikini wakikamatwa na dumu la asali porini wakinyweshwa mpaka kufa
Nasikitika kusikia kiongozi akifurahia mauwaji haya na yeye akiwemo daa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…