RC Chalamila: Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma

Na wanyweshwe tu sababu hakuna namna. Tena wangenyogewa kwenye hiyo miringoti ya umeme
Serikali haiwezi kuweka ulinzi kila kona
 
Nawao mafisadi wakishikwa walishwe noti zapesa walizoiba
 
Ukisikiliza viongozi wetu tu, unapata picha ya taifa letu hata kama ni kipofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…