Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.
Mdau una maoni gani?
Mdau una maoni gani?