RC Chalamila: Tunafanya utafiti tusajili CCTV Camera ili unachokiona na sisi tukione

RC Chalamila: Tunafanya utafiti tusajili CCTV Camera ili unachokiona na sisi tukione

Unajua sababu ya huyu pimbi kusema hivyo? Mauaji aliyofanya Samia tarehe 29 na kuendelea kuna baadhi yalinaswa kwenye CCTV za makazi ya watu hivyo wanataka kujua kila mwenye CCTV yuko wapi ili wapate namna ya ku-control watu. Pia wanataka wasiojulikana waweze kufanya kazi bila hofu ya kurekodiwa bila kujua.
Yeah ndio lengo kuu, ..wawe wanauwezo wa kuzi track pia
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.

Mdau una maoni gani?

mjichanganye tu wenye camera wanatafuta mashahidi wa oct 29 mtapotea niko pale
 
Huyu akajifunze hata London ili kujua Sadiq Khan kalifanya vipi jiji hilo kwa cameras

Sasa Badala ya kutafuta mbinu za kuingizia pato jiji letu analeta haya.

Tatizo tuna watu wasiojua hata camera zina kazi gani?

Watu wana camera zaidi 5m kwenye jiji moja, hajui kuwa crime zimepungua sana ?
Kwanini waogope kuwa na cctv kuna nini nyuma ya pazia?
Wanaogopa kuwa exposed Kwa matukio wanayo yafanya
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.

Mdau una maoni gani?

Wao wafunge zao yaani raia ajikamue kujigharamia afu anatoka jangili kusikojulikana anakwambia namimi nataka nitumie miundo mbinu yako kuona kama unavyoona wewe...
 
Back
Top Bottom