RC Chalamila: Tunafanya utafiti tusajili CCTV Camera ili unachokiona na sisi tukione

RC Chalamila: Tunafanya utafiti tusajili CCTV Camera ili unachokiona na sisi tukione

It is too late,hata pata huo muda,huyu bado anaishi Jana wakati sisi tuko kesho kutwa
Unajua sababu ya huyu pimbi kusema hivyo? Mauaji aliyofanya Samia tarehe 29 na kuendelea kuna baadhi yalinaswa kwenye CCTV za makazi ya watu hivyo wanataka kujua kila mwenye CCTV yuko wapi ili wapate namna ya ku-control watu. Pia wanataka wasiojulikana waweze kufanya kazi bila hofu ya kurekodiwa bila kujua.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.

Mdau una maoni gani?

Duh "au mzipige marufuku kabisa zisiingie Nchini
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.

Mdau una maoni gani?

Kuna hasira na matusi yananikaba ili niyatoe kwa hii siri kali na vilaza wake ila ndio kuna ban.
 
Hao wamekuwa exposed na cctv several times hapo zinasajiliwa na wanahakikisha wana access ma hizo camera na kuweza ku delete wasichotaka au kuzicobtrol remotely.
 
Huyu akajifunze hata London ili kujua Sadiq Khan kalifanya vipi jiji hilo kwa cameras

Sasa Badala ya kutafuta mbinu za kuingizia pato jiji letu analeta haya.

Tatizo tuna watu wasiojua hata camera zina kazi gani?

Watu wana camera zaidi 5m kwenye jiji moja, hajui kuwa crime zimepungua sana ?
Kwanini waogope kuwa na cctv kuna nini nyuma ya pazia?
 
Aisee inasikitisha sana ,viongozi wetu tuliowapa dhamana wanawaza mambo ya kipumbavu ndiyo maana tunashindwa kutatua vitu vya msingi kwa watanzania ,sasa mimi nifunge CCTV kwangu kuzunguka eneo langu serikali nayo inataka kuona? Hamjaridhika kwenye simu mnataka hadi kuona majumbani kwetu?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.

Mdau una maoni gani?

Hi mkuu wa mkoa umechemka sana , yaani mali yangu binafsi kucheki wafanyakazi wangu na operations zangu na nyie mzione? Fungeni kwenye kila intersections kwenye nguzo za tanesco na taa za barabarani , mkihitaji msaada wa za binafsi iwe ni hiari mtu kuwapa
 
Itakuja mpaka kodi ya kufuga mbwa na paka njaa ni kali sana
 
Back
Top Bottom