Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mtu akiamua kuweka kamera nyumbani asajili za nini? Nachojua huwa anatakiwa kuweka alama ili watu wajue kuwa eneo fulani lina kamera.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.
Mdau una maoni gani?
wanahali mbaya simchezo sasa tujiandae kudaiwa kodi kila sehemu🤣🤣🤣🤣 ili zilipiwe kodi
Hivi ulofa ulianza lini dunia hii na utaisha lini?Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.
Mdau una maoni gani?
Nilijua tu,hivyo wasiojulikana watakuwa wanajua pale pana camera kabla ya kukuibukia.😀
Washawalima instagram barua wanataka 5% ya wanaolipia ads 😄wanahali mbaya simchezo sasa tujiandae kudaiwa kodi kila sehemu
akili ya CHALAMILA ni mavimavi!Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.
Mdau una maoni gani?
Halafu ana elimu ya masters huyu! Na kabla ya kuingia rasmi kwenye siasa, alikuwa ni mkufunzi wa chuo kikuu Mkoani Iringa!Shape ya kichwa cha mtu inaweza kukupa insights za uwezo wake kiakili. Chalamila ana kichwa ambacho nafasi kubwa imechukuliwa na taya pamoja na mdomo, nafasi ya ubongo imebaki kiduchu sana.
Alafu ndio ma 'intellectual' wetu hao vipanga wanaoajiriwa na ile idara ya usalama wa CCM tangu wako shule. Ni vimeo kwelikweli.
Unajua sababu ya huyu pimbi kusema hivyo? Mauaji aliyofanya Samia tarehe 29 na kuendelea kuna baadhi yalinaswa kwenye CCTV za makazi ya watu hivyo wanataka kujua kila mwenye CCTV yuko wapi ili wapate namna ya ku-control watu. Pia wanataka wasiojulikana waweze kufanya kazi bila hofu ya kurekodiwa bila kujua.Tushakubaliana mtu akiwa na kichwa ka cha senene huyo kichwani mwake Kuna maziwa mgando badala ya ubongo.
Huyu asingesoma hata ubalozi wa nyumba kumi asingeupata.
Bichwa senene chalamila