digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Unajua sababu ya huyu pimbi kusema hivyo? Mauaji aliyofanya Samia tarehe 29 na kuendelea kuna baadhi yalinaswa kwenye CCTV za makazi ya watu hivyo wanataka kujua kila mwenye CCTV yuko wapi ili wapate namna ya ku-control watu. Pia wanataka wasiojulikana waweze kufanya kazi bila hofu ya kurekodiwa bila kujua.
Duh "au mzipige marufuku kabisa zisiingie NchiniMkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.
Mdau una maoni gani?
Kuna hasira na matusi yananikaba ili niyatoe kwa hii siri kali na vilaza wake ila ndio kuna ban.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.
Mdau una maoni gani?
Hi mkuu wa mkoa umechemka sana , yaani mali yangu binafsi kucheki wafanyakazi wangu na operations zangu na nyie mzione? Fungeni kwenye kila intersections kwenye nguzo za tanesco na taa za barabarani , mkihitaji msaada wa za binafsi iwe ni hiari mtu kuwapaMkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi badala ya dhumuni halisi.
Mdau una maoni gani?
Ndiyo imepita hivyo, kwani tozo ilikuwaje!? Hawarudi nyuma hawa wakishaamua.Kwanza anatumia Sheria gani kuwaza hilo wazo?
Kwenye ubora wenu 😹