Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Kwani sasa chini yake CCM inaendeshwaje?LOoo, naona umempa ushauri wa ajabu huu.
Hicho chama kitakuwa kinaendeshwa na jeshi/polisi na vyombo vyote vya dola au sio?
Mbali ya hapo, kitakuwa ni chama cha kushangaza sana!