Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo apoteze na urais?!! Thubutuu!!!!Wewe ndio wewe haujaribiwi, kama hawa CCM wanaona wewe si kitu si chochote huku wanajua chama chenyewe bila nguvu za ikulu ni kama mlenda wapige chini.
Tumia mamlaka yako kama ambavyo umeishajua namna unavyoweza kuyatumia bila wasiwasi, anzisha chama chako.
Alafu tuone nguvu zao ni nini?
Wakati unaandika hivi umesoma Katiba?Wewe ndio wewe haujaribiwi, kama hawa CCM wanaona wewe si kitu si chochote huku wanajua chama chenyewe bila nguvu za ikulu ni kama mlenda wapige chini.
Tumia mamlaka yako kama ambavyo umeishajua namna unavyoweza kuyatumia bila wasiwasi, anzisha chama chako.
Alafu tuone nguvu zao ni nini?
Naunga mkono hata late mutharika Wa Malawi alifanya hivo baada ya kuona bakili akizingua na UDF yakeWewe ndio wewe haujaribiwi, kama hawa CCM wanaona wewe si kitu si chochote huku wanajua chama chenyewe bila nguvu za ikulu ni kama mlenda wapige chini.
Tumia mamlaka yako kama ambavyo umeishajua namna unavyoweza kuyatumia bila wasiwasi, anzisha chama chako.
Alafu tuone nguvu zao ni nini?
Katiba kitu gani Tanzania? Acha kuchekesha mkuu!Wakati unaandika hivi umesoma Katiba?
Kuna Kijana alipendekeza Magufuli Party ..............!!
Yule wa IringaKuna Kijana alipendekeza Magufuli Party ..............!!
LOoo, naona umempa ushauri wa ajabu huu.Wewe ndio wewe haujaribiwi, kama hawa CCM wanaona wewe si kitu si chochote huku wanajua chama chenyewe bila nguvu za ikulu ni kama mlenda wapige chini.
Tumia mamlaka yako kama ambavyo umeishajua namna unavyoweza kuyatumia bila wasiwasi, anzisha chama chako.
Alafu tuone nguvu zao ni nini?
Afanye kama alivyofanya Zitto kwa ACT, akiweza amtumie huyu huyu msiba asajiri chama, akifinance kama anavyofinance miradi ya Chato ukifika muda muafaka anaenda kuchukua fomu maisha yanaendelea.Kwa hiyo apoteze na urais?!! Thubutuu!!!!
Katiba ya nini, kwani mpaka sasa hiyo katiba hajui kama ipo mbona anabutua tu.Wakati unaandika hivi umesoma Katiba?