RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

LOoo, naona umempa ushauri wa ajabu huu.
Hicho chama kitakuwa kinaendeshwa na jeshi/polisi na vyombo vyote vya dola au sio?
Mbali ya hapo, kitakuwa ni chama cha kushangaza sana!
Kwani sasa chini yake CCM inaendeshwaje?
 
Thubutuuuuu aanzishe aone ataungwa mkono na hao hao jamaa zake wa wapi sijui....
 
Mpigie simu mwambie 0754-777777
 
Naona polepole ame MUTE[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vilivomuangusha Joyce ni viwili kutaka kuruhusu ushoga na chokochoko ya kugombea mpaka na Tanzania, wamalawi wakasema wanampiga chini hawezi wagombanisha na ndugu zao watanzania Kwa tamaa zake za kutumika. Tangu apigwe chini ushawahi sikia mambo ya kugombea ziwa Nyasa tena?
 
Kwa vile atawakandamiza kwa kutumia 'vifaa' vyake au sio?
Hapo CCM ndio inaisha ndugu yangu, hata leo hii magufuri akiamua kuwaachilia TAKUKURU waingie CCM, alafu kesho yake awaachilie TRA nao waende, CCM inakufa.
 
Hapo CCM ndio inaisha ndugu yangu, hata leo hii magufuri akiamua kuwaachilia TAKUKURU waingie CCM, alafu kesho yake awaachilie TRA nao waende, CCM inakufa.
Aiiiseeee!
Naomba wote wanaotuhadaa humu Jukwaani kwamba kuna mapambano na ufisadi na matakataka yote watueleze kuhusu hili!
 
Naamiini Ikifikia hapo hata Mkapa ataongea hadharani. Halafu hicho Chama kinaweza kuungwa Mkono na sehemu tu TISS, Policcm na Wanachato. Mtu gani na kila aliyeko mbele yake zaidi ya Nyamitako na kampuni yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…