RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

Nadhani hii haijakaa vizuri kikatiba,maana chama ndicho kinachotoa Rais,sasa akihama chama,nau-rais nao itabidi auteme,na hakuna sababu yeyote ya msingi.

The best option ni kutumia mamlaka yake kama Rais na Mwenyekiti wa chama.Awafukuze kwenye chama,na kama ikionekana ni threat kubwa wasukumwe ndani for an uspecified period mpaka itakaponekana kwamba they are no longer a threat.Tukiwachekea hawa jamaa tutakula mabua,ni watu hatari sana kwa ustawi wa taifa letu.Action is required immediately.
 
Mkuu kwani sasa hivi CCM ipo tena? Ngoja niishie hapa.
 
HAWAMTAKI CHUMA KWASABABU ANAZUIA MIANYA YA UPIGAJI.

Viva wizi viva returns
 
Eti bwana chama chenyewe kimesimama kwa nguvu ya Siro, kipilimba na Mabeyo tu. Hawa wote ni watu wako Rais Magufuli.
 
Tunaanza kumwelewa sasa alichosema Ndugai anabaki kongwa kwa kz nzuri akiyofanya washakunaku wa siasa vpdamu changa korofi yote inaondoka wanabaki wale watakao sema You Must love your leaders kwa sauti ya IDDI AMIN DADA
 
mijitu ya kusini inakuwa mishamba namna hii, tena lijamaa sijui ni dokta, mbona haijifunzi kwa wachagga n?
yani hata kumtawaza mtu linaweza tawaza mradi tu ni lijinga.
jitu zima lishamba
 
Huyu pimbi hatimaye amemwagwa leo na rais Samia Suluhu Hassan. sintomsahau kwa hii kauli chafua aliyoitoa Mbeya mwaka 2019 alisema "Natamani kuwe na Chama kimoja Magufuli Ruling Party".
 
Mwalimu wa kiswahili huyo, bingwa wa kuchomekea maneno. wanambeya wanamkubali sana huyo mwamba wa lugha, hapo kawaacha CHADEMA , ACT, na wengine kuitafakari kauli hiyo bila majibu
KARLO MWILAPWA ulimtetea huyu hayawani kwa uropokaji wake ukaona ni bingwa wa Kiswahili. Leo ametemeshwa kibarua. Je unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…