Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Nadhani hii haijakaa vizuri kikatiba,maana chama ndicho kinachotoa Rais,sasa akihama chama,nau-rais nao itabidi auteme,na hakuna sababu yeyote ya msingi.Wewe ndio wewe haujaribiwi, kama hawa CCM wanaona wewe si kitu si chochote huku wanajua chama chenyewe bila nguvu za ikulu ni kama mlenda wapige chini.
Tumia mamlaka yako kama ambavyo umeishajua namna unavyoweza kuyatumia bila wasiwasi, anzisha chama chako.
Alafu tuone nguvu zao ni nini?
The best option ni kutumia mamlaka yake kama Rais na Mwenyekiti wa chama.Awafukuze kwenye chama,na kama ikionekana ni threat kubwa wasukumwe ndani for an uspecified period mpaka itakaponekana kwamba they are no longer a threat.Tukiwachekea hawa jamaa tutakula mabua,ni watu hatari sana kwa ustawi wa taifa letu.Action is required immediately.