RC Chalamila: Tunaweza kuwa na ‘Magufuli Ruling Party’ na mambo yakaenda vizuri kabisa

Ili kuleta usawa kwa vyama vyote Tz, Wenyeviti wa vyama vyote wawe na ukomo sio Mkiti wa chama miaka nenda rudi ni yeye tu. Kamuchezo ka design hii kako sana kule Vyama vya upinzani ndo mana na wenzenu wanatamani wakacheze.

Hili nalo ni tatizo.
 
Hiyo haijatokea bahati mbaya haya yanapangwa taratibu taratibu kuna siku agenda itafikishwa bungeni na spika Ndugai atasikika akisema "waliosema Magufuli atawale milele wameshinda" ndo mtalia na kusaga meno

Mkuu muda utaongea.

Ata huku kuwa karibu na majeshi nina mashaka nako.
 
Hili nalo ni tatizo.
Lokote, inabidi wajue hakuna asiyetaka uongozi kama Mwanadamu. Hapa inaonekana tu ni vibaya kwa Mkiti akiwa yuko madarakani lakini huko Vyama vinavyosubiri kuchukua madaraka, kama Mwenyekiti wake kila uchaguzi ni yeye tu unafikiri siku akibahatika kuwa Rais wa nchi utamulazimisha sasa ndo aanze kuacha kutamani madaraka? haiwezekani lazima Wenyeviti wote wa vyama vyote vya siasa wajifunze mapema kuachiana madaraka. Labda Tume yenyewe sasa iingilie katiba za vyama vyote ili hata kama unapendwa kiasi gani lazima kuwe na ukomo. Mzungu anasema "Practice makes perfect"
 
yaani sisi maCCM tuna mambo ya kitoto na kishamba mno!!
 
Pale mwanaume anapomhusudu mwanaume mwenzake..Huyo Chalamila km kocho vile
 
RC atakuwa alikuwa amekula mboga ya bhang kabla ya kusema alichokisema.
 
Mwalimu wa kiswahili huyo, bingwa wa kuchomekea maneno. wanambeya wanamkubali sana huyo mwamba wa lugha, hapo kawaacha CHADEMA , ACT, na wengine kuitafakari kauli hiyo bila majibu
Unatumia komoni ya mama nani?.
 
Hili nalo takataka tu kujikomba kama jike!
 
Rais Magufuli kamtolea nje live!
Amemtolea nje kwa vipi? Lisu 38, Azory, Ben coco beach and many more yanafanyika kufanikisha nini?. Never trust Jiwe at all. Huyu ni dikiteita, never trust a dictator!
 
Mwalimu wa kiswahili huyo, bingwa wa kuchomekea maneno. wanambeya wanamkubali sana huyo mwamba wa lugha, hapo kawaacha CHADEMA , ACT, na wengine kuitafakari kauli hiyo bila majibu
Bila kusahau pia ccm ipigwe chini kibaki magufuli ruling party
 
Mwalimu wa kiswahili huyo, bingwa wa kuchomekea maneno. wanambeya wanamkubali sana huyo mwamba wa lugha, hapo kawaacha CHADEMA , ACT, na wengine kuitafakari kauli hiyo bila majibu
Ni nani amekuambia wanamkubali? Tena umesema sana,umewapima wapi? Sema wewe unamkubali
 
Mwalimu wa kiswahili huyo, bingwa wa kuchomekea maneno. wanambeya wanamkubali sana huyo mwamba wa lugha, hapo kawaacha CHADEMA , ACT, na wengine kuitafakari kauli hiyo bila majibu
KAMWACHA MAGU AMBAYE AMXEMA VYAMA VIGI VIPO KIKATIBA AU WEWE KAKUACHA TULIA KIJANA
 
Tumezoea kuchangia harusi za watu na mambo mengine yanayo ishia na kupiga ubwaubwa na vinywaji. Lakini Mtanzania mwenzetu anapopatwa na maradhi ni nadra sana kujikuta mnamchangia matibabu yake (ukiacha tukio LA kigaidi lililomtokea Lissu).
Nimemsikiliza kwa makini RC was Mbeya Bw. Chalamila na kugundua ni mgonjwa na anahitaji tiba kabla hali haijawa mbaya zaidi. Jee mnaonaje au tutumie njia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…