FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 915
- 638
Mpaka leo hajamtumbua tu? Maana Makosa yake Ni haya hapa:Toka aambiwe aache kutamanitamani ovyo wake za watu naona akili bado hazijarudi.
1:Utovu wa nidhamu Kwa Rais_Alisema analipwa pesa nyingi kiasi cha kuweza kuwa Na mchepuko
2: Udhalilishaji dhidi ya wanawake _Alisema wakati mwingine ana mtamani DC huku akijua Ni mke wa mtu
3:Tamaa_Kitendo cha kuashiria kutamani wasaidizi wake wa chini,mfano DC
4:Utani usiozingatia mipaka_Kujitoa ufahamu Na kaonyesha udhaifu wake wa kimapenzi Bila kujali rais Ni mtu mkubwa sana Na muhimu,yuko kazini akisikiliza kero za watu
5:Uchanganishi-Kitendo cha kusema kuwe Na chama kimoja cha Magufuli Ruling party Ni dalili za uchochezi
6:Hana akiba ya maneno Kwa kuzingatia muktadha uliopo