Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Huwa wanarudi.Kwani si waliondolewa mara ya kwanza, wamerudi tena?
Hao wapuuzi wafugaji ndiyo dawa yao. Hakuna busara wanayoijua zaidi ya hiyo. Waharibifu sana hao, walidhibitiwa kwa muda mrefu lakini naona sasa wamerudi tena.Huyu Rc hana busara katika kutatua mambo, anafikiri kila jambo linahitaji mabomu na risasi za moto.
Hata mkewe wakikosana pengine anamtisha kwa bastola.. ridiculous!
Hivi akina mwambambe na akina mwandambo Ana Kona mbilinyi Ina maana wameshindwa 'kumtengeneza huyu jamaa [emoji1]Mbeya wamepata zezeta a.k.a ndondocha a.k.a msukule
Huyu NI ndezi, tayari Ana popobawa wawili, ameridhikaHivi akina mwambambe na akina mwandambo Ana Kona mbilinyi Ina maana wameshindwa 'kumtengeneza huyu jamaa [emoji1]
Maana analeta swaga za kijombi jombi ubabe ubabe[emoji1]
Kumekucha
Hujui wafugaji walivo wasumbufu na waharibifu weweHuyu jamaa bhana!!!!
Kuzalilisha watu wazima, Tena kwa kuwachapa viboko ni yeye
Kuwa Tisha wafugaji na silaha za Moto na mabomu Tena yumo[emoji44]
Kama hata kuandika haujui mumeo anafaidi nini sasa kutoka kwako.Safi sana Charamira kwa maamuzi ya busala sana