RC Chalamila: Wafugaji waliovamia hifadhi waondoke ndani ya siku 6. Mkirusha mikuki tutarusha risasi za moto

RC Chalamila: Wafugaji waliovamia hifadhi waondoke ndani ya siku 6. Mkirusha mikuki tutarusha risasi za moto

Hujui wafugaji walivo wasumbufu na waharibifu wewe

Cariha"
Usumbu wa mfugaji na mkulima na ufahamu ,
Ila kwenye swala la kutoa ahadi za vitisho kwa wahusika ili tu wahame ,
Tena vitisho, Silaha za Moto kwa wafugaji , wenye mikuki?

Hii inadhihirisha
Kiongozi hana kauli ya kushawishi watu, kutawala
Ikiwa tu kwa busara atashindwa kungumzma mazungumzo ya amani dhidi ya wafugaji ...
Kiasi kutumia nguvu?

Vip? Kuhusu majambazi yenya Silaha za Moto yakakidhiri

Si atapigasimu[ UN]?
 
Ila wafugaji wakimasai huwa ni wabbishi sana
Hujakutana na wafugaji wa kisukuma. No offence. Ukifuatilia mfano hifadhi ya katavi. Asilimia kubwa ya ng'ombe wanaokamatwa park wafugaj ni wasukuma.
 
Huyu RC hana busara kabisa.

Na hivi wameambiwa hawatabadilishwa basi tutaendelea kushuhudia maamuzi ya aina hii kwa muda mrefu ujao.
 
Hujakutana na wafugaji wa kisukuma. No offence. Ukifuatilia mfano hifadhi ya katavi. Asilimia kubwa ya ng'ombe wanaokamatwa park wafugaj ni wasukuma.
Serikali inawachekea ufugaji usio na kichwa Wala miguu ni uharibifu wa mazingira
 
Cariha"
Usumbu wa mfugaji na mkulima na ufahamu ,
Ila kwenye swala la kutoa ahadi za vitisho kwa wahusika ili tu wahame ,
Tena vitisho, Silaha za Moto kwa wafugaji , wenye mikuki?

Hii inadhihirisha
Kiongozi hana kauli ya kushawishi watu, kutawala
Ikiwa tu kwa busara atashindwa kungumzma mazungumzo ya amani dhidi ya wafugaji ...
Kiasi kutumia nguvu?

Vip? Kuhusu majambazi yenya Silaha za Moto yakakidhiri

Si atapigasimu[ UN]?
Wafugaji ukitumia soft language hawakuelewi kabisa, na kwanza wafugaji huwatesa Sana wakulima
 
Cariha"
Usumbu wa mfugaji na mkulima na ufahamu ,
Ila kwenye swala la kutoa ahadi za vitisho kwa wahusika ili tu wahame ,
Tena vitisho, Silaha za Moto kwa wafugaji , wenye mikuki?

Hii inadhihirisha
Kiongozi hana kauli ya kushawishi watu, kutawala
Ikiwa tu kwa busara atashindwa kungumzma mazungumzo ya amani dhidi ya wafugaji ...
Kiasi kutumia nguvu?

Vip? Kuhusu majambazi yenya Silaha za Moto yakakidhiri

Si atapigasimu[ UN]?
Mtu anayesapoti matumizi ya silaha za moto kabla ya fujo hatarishi kutokea unamwelewesha wa nn? Kwake karidhia kuwa wafe tu sababu ni wakorofi.
 
Serikali inawachekea ufugaji usio na kichwa Wala miguu ni uharibifu wa mazingira
Wamasai wamekufanya nini maana naona kila thread inayowahusu umo na huwa unatoa mawazo hasi juu yao.

Jaribu kupunguza chuki mkuu utakuwa na maamuzi sahihi juu yao.
 
Kama tungekuwa na Rais anayejali wanyonge huyu RC kesho ingefika hana kazi!
 
Nawaona Wanalumumba mnavyopishana maoni kuhusu kauli ya Mwanalumumba mwenzenu. 😀
RC anaongea kama vile amiri jeshi mkuu anatangaza vita na adui wa nchi ,

Asingepungukiwa kitu kama angewaambia kuwa hatua kali zitachukulialwa mbona inaeleweka tu,

Sasa maswala ya mabomu na marisasi yanatoka wapi?
 
Rais anaongea kama vile amiri jeshi mkuu anatangaza vita na adui wa nchi ,

Asingepungukiwa kitu kama angewaambia kuwa hatua kali zitachukulialwa mbona inaeleweka tu,

Sasa maswala ya mabomu na marisasi yanatoka wapi?
Inawezekana kabisa alikwishatoa kauli kali kama hizo (hatua Kali zitachukuliwa) lakini wafugaji walizipuuzia. Kwa hiyo, ndiyo sababu ya RC kuja na njia mbadala ya kuwafyatulia risasi za moto ili wafe kabisa. Ni mtazamo tu.
 
Mkuu tuachane na habari za inawezekana,

Mkuu wa Mkoa kakosea kutoa hiyo kauli, wenye uamuzi wa matumizi ya Risasi ni Polisi sio yeye.

Hao wafugaji sio maadui, ni raia wake, kauli hiyo ni ya kibaguzi , ingawa wafugaji wamekosea lakini hapaswi kuonesha kuwa ana mamlaka ya kuondoa uhai wao.

Mimi nadhani kuna haja ya kuwapa viongozi semina elekezi kama zile za Ngurdoto kipindi cha JK, maana misingi ya uongozi haifuatwi.
 
Hao wapuuzi wafugaji ndiyo dawa yao. Hakuna busara wanayoijua zaidi ya hiyo. Waharibifu sana hao, walidhibitowa kwa muda mrefu lakini naona sasa wamerudi tena.
Kwa hiyo kwako wewe na huyo 'chizi' rc kuua mfugaji ni haki?
 
Mkuu tuachane na habari za inawezekana,

Mkuu wa Mkoa kakosea kutoa hiyo kauli, wenye uamuzi wa matumizi ya Risasi ni Polisi sio yeye.

Hao wafugaji sio maadui, ni raia wake, kauli hiyo ni ya kibaguzi , ingawa wafugaji wamekosea lakini hapaswi kuonesha kuwa ana mamlaka ya kuondoa uhai wao.

Mimi nadhani kuna haja ya kuwapa viongozi semina elekezi kama zile za Ngurdoto kipindi cha JK, maana misingi ya uongozi haifuatwi.
Rc kasema, 'wafugaji wakirusha mikuki, polisi watajibu kwa risasi'; kigumu kueleweka ni nini? Wakati mwingine makamanda mnakuwa kama mmeshikiwa ubongo vile!
 
Haka kajamaa huwa kanapenda vitisho vya kijeshi jeshi!

Sio mara ya kwanza kumsikia anatoa matamshi ya mabunduki bunduki na kuwatisha watu kipolisi polisi.
 
Kwa hiyo kwako wewe na huyo 'chizi' rc kuua mfugaji ni haki?
Mfugaji anaua nature na uchumi. Wakiwaacha hao wachache hapo unajua athari zake? Pia sijaona kama Kuna sehemu amesema kuwa wataua?
Hao wafugaji walishakatazwa kwenda hayo maeneo kufanya shughuli zao na wakatengewa kwa jeenda, na seeikali ilisaidia kuwahamishia huko lakini hawasikii na kama haujui, hao wafugaji wakizuiwa huwa wanaua wanao wazuia.
Kingine hayo maeneo siyo ya wafugaji, wanavamia hapo wanaua vyanzo vya maji halafu wanahamia kwingine na kuacha janga hapo. Hao siyo wakazi wa maeneo hayo bali wanapeleka mifugo yao wakishaharibu wanaenda maeneo mengine nako wanaharibu halafu wanahama tena.
Mbeya ni mkoa wa Kilimo na ufugaji wa kisasa. Ukiwaacha hao wafugaji holela na wazururaji wanaofuata hayo mazao ya kijani na vyanzo vya maji ambavyo ndiyo msingi wa hali ya hewa na kilimo cha mkoa ule, basi utakua na matatizo.
 
Serikali inawachekea ufugaji usio na kichwa Wala miguu ni uharibifu wa mazingira
You have a point. Before then bada ya mpaka kulikuaa kuna eneo la WMA. Maeneo yalitengwa mahususi ku protect mipaka ya hifadhi
Lakin awamu for political reasons. Wakaua maeneo ya WMA.
Kolichotokea ni watu walilima na kukata miti kwa speed ya 4g. Yaan mipaka ya hidadhi kidogo ibaki kipara.
Na wakawa wanaingiza mifugo ndani. Kwa maksudi kabisa. Wakibanwa wanarusha mishale.

Ndio hapo muda mwingine askari wa wanyamapoir wana rudisha fire na kuondoka na mtu.

Sometimes necessary evil ni muhimu.
 
Back
Top Bottom