Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 828
- 1,513
Hujui wafugaji walivo wasumbufu na waharibifu wewe
Hujakutana na wafugaji wa kisukuma. No offence. Ukifuatilia mfano hifadhi ya katavi. Asilimia kubwa ya ng'ombe wanaokamatwa park wafugaj ni wasukuma.Ila wafugaji wakimasai huwa ni wabbishi sana
Serikali inawachekea ufugaji usio na kichwa Wala miguu ni uharibifu wa mazingiraHujakutana na wafugaji wa kisukuma. No offence. Ukifuatilia mfano hifadhi ya katavi. Asilimia kubwa ya ng'ombe wanaokamatwa park wafugaj ni wasukuma.
Wafugaji ukitumia soft language hawakuelewi kabisa, na kwanza wafugaji huwatesa Sana wakulimaCariha"
Usumbu wa mfugaji na mkulima na ufahamu ,
Ila kwenye swala la kutoa ahadi za vitisho kwa wahusika ili tu wahame ,
Tena vitisho, Silaha za Moto kwa wafugaji , wenye mikuki?
Hii inadhihirisha
Kiongozi hana kauli ya kushawishi watu, kutawala
Ikiwa tu kwa busara atashindwa kungumzma mazungumzo ya amani dhidi ya wafugaji ...
Kiasi kutumia nguvu?
Vip? Kuhusu majambazi yenya Silaha za Moto yakakidhiri
Si atapigasimu[ UN]?
Mtu anayesapoti matumizi ya silaha za moto kabla ya fujo hatarishi kutokea unamwelewesha wa nn? Kwake karidhia kuwa wafe tu sababu ni wakorofi.Cariha"
Usumbu wa mfugaji na mkulima na ufahamu ,
Ila kwenye swala la kutoa ahadi za vitisho kwa wahusika ili tu wahame ,
Tena vitisho, Silaha za Moto kwa wafugaji , wenye mikuki?
Hii inadhihirisha
Kiongozi hana kauli ya kushawishi watu, kutawala
Ikiwa tu kwa busara atashindwa kungumzma mazungumzo ya amani dhidi ya wafugaji ...
Kiasi kutumia nguvu?
Vip? Kuhusu majambazi yenya Silaha za Moto yakakidhiri
Si atapigasimu[ UN]?
Wamasai wamekufanya nini maana naona kila thread inayowahusu umo na huwa unatoa mawazo hasi juu yao.Serikali inawachekea ufugaji usio na kichwa Wala miguu ni uharibifu wa mazingira
Safi sana Charamira kwa maamuzi ya busala sana
Nawaona Wanalumumba mnavyopishana maoni kuhusu kauli ya Mwanalumumba (RC) mwenzenu. 😀Huyu RC hana busara kabisa.
Na hivi wameambiwa hawatabadilishwa basi tutaendelea kushuhudia maamuzi ya aina hii kwa muda mrefu ujao.
RC anaongea kama vile amiri jeshi mkuu anatangaza vita na adui wa nchi ,Nawaona Wanalumumba mnavyopishana maoni kuhusu kauli ya Mwanalumumba mwenzenu. 😀
Inawezekana kabisa alikwishatoa kauli kali kama hizo (hatua Kali zitachukuliwa) lakini wafugaji walizipuuzia. Kwa hiyo, ndiyo sababu ya RC kuja na njia mbadala ya kuwafyatulia risasi za moto ili wafe kabisa. Ni mtazamo tu.Rais anaongea kama vile amiri jeshi mkuu anatangaza vita na adui wa nchi ,
Asingepungukiwa kitu kama angewaambia kuwa hatua kali zitachukulialwa mbona inaeleweka tu,
Sasa maswala ya mabomu na marisasi yanatoka wapi?
Mkuu tuachane na habari za inawezekana,Inawezekana kabisa alikwishatoa kauli kali kama hizo (hatua Kali zitachukuliwa) lakini wafugaji walizipuuzia. Kwa hiyo, ndiyo sababu ya RC kuja na njia mbadala ya kuwafyatulia risasi za moto ili wafe kabisa. Ni mtazamo tu.
Kwa hiyo kwako wewe na huyo 'chizi' rc kuua mfugaji ni haki?Hao wapuuzi wafugaji ndiyo dawa yao. Hakuna busara wanayoijua zaidi ya hiyo. Waharibifu sana hao, walidhibitowa kwa muda mrefu lakini naona sasa wamerudi tena.
Rc kasema, 'wafugaji wakirusha mikuki, polisi watajibu kwa risasi'; kigumu kueleweka ni nini? Wakati mwingine makamanda mnakuwa kama mmeshikiwa ubongo vile!Mkuu tuachane na habari za inawezekana,
Mkuu wa Mkoa kakosea kutoa hiyo kauli, wenye uamuzi wa matumizi ya Risasi ni Polisi sio yeye.
Hao wafugaji sio maadui, ni raia wake, kauli hiyo ni ya kibaguzi , ingawa wafugaji wamekosea lakini hapaswi kuonesha kuwa ana mamlaka ya kuondoa uhai wao.
Mimi nadhani kuna haja ya kuwapa viongozi semina elekezi kama zile za Ngurdoto kipindi cha JK, maana misingi ya uongozi haifuatwi.
Nani kamanda mkuu?? Nitake radhi.Rc kasema, 'wafugaji wakirusha mikuki, polisi watajibu kwa risasi'; kigumu kueleweka ni nini? Wakati mwingine makamanda mnakuwa kama mmeshikiwa ubongo vile!
Basi yaishe mkuu 🤝🤛Nani kamanda mkuu?? Nitake radhi.
Mfugaji anaua nature na uchumi. Wakiwaacha hao wachache hapo unajua athari zake? Pia sijaona kama Kuna sehemu amesema kuwa wataua?Kwa hiyo kwako wewe na huyo 'chizi' rc kuua mfugaji ni haki?
You have a point. Before then bada ya mpaka kulikuaa kuna eneo la WMA. Maeneo yalitengwa mahususi ku protect mipaka ya hifadhiSerikali inawachekea ufugaji usio na kichwa Wala miguu ni uharibifu wa mazingira