Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Wafugaji si wamasai tu. Kuna makabila mengine ni wafugaji. Tena wafugaji wasumbufuWamasai wamekufanya nini maana naona kila thread inayowahusu umo na huwa unatoa mawazo hasi juu yao.
Jaribu kupunguza chuki mkuu utakuwa na maamuzi sahihi juu yao.
Askari wa hifadhi wamekuwa trained . Kurusha risasi if hatari ni imminent. Na hili suala la mikuki liko sana hifadhi ya ruaha na serengeti.Nani kamanda mkuu?? Nitake radhi.
Thread gani nyingine nimewaongelea vibaya wamasai, ungekuwa umewahi kuishi morogoro na kushuhudia wamasai wavamizi wa mkoa wa morogoro wanavotesa wakulima na kulisha mifugo yao Kuna kipindi walikuwa Hadi wanachinja na kuua wakulima kwa mishale usingetetea wafugaji wa hovyo hovyo tena wanaoharibu mazingira.Wamasai wamekufanya nini maana naona kila thread inayowahusu umo na huwa unatoa mawazo hasi juu yao.
Jaribu kupunguza chuki mkuu utakuwa na maamuzi sahihi juu yao.
Huu Mkuu wa Mkoa wakati anatoa matamko yake. Wafugaji po hapo kumsikiliza? Au ndo matamko ya media na mitandao ya kijamii...Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa siku 6 kwa Wafugaji Wilayani Mbarali kuondoa Mifugo katika Hifadhi ya Bonde la Ihefu na Ruaha kabla hawajachukuliwa hatua kali
Amesisitiza "Nimetoa siku sita na nawaonya kwa Mfugaji yeyote atakayekaidi agizo hilo na kuleta mapigano katika uondoaji wa wafugaji hao kwa kurusha mkuki basi vikosi vya Majeshi vitatumia mabomu na silaha za moto"
Mwambieni bwana mdogo aache U babe.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa siku 6 kwa Wafugaji Wilayani Mbarali kuondoa Mifugo katika Hifadhi ya Bonde la Ihefu na Ruaha kabla hawajachukuliwa hatua kali
Amesisitiza "Nimetoa siku sita na nawaonya kwa Mfugaji yeyote atakayekaidi agizo hilo na kuleta mapigano katika uondoaji wa wafugaji hao kwa kurusha mkuki basi vikosi vya Majeshi vitatumia mabomu na silaha za moto"
Hana hizo powers za kucomand forces , powers zake ni very limited, kaangalie tena majukumu ya mkuu wa mkoa, kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama au mwakilishi wa Rais hakukupi authority ya kucomand forces.Askari wa hifadhi wamekuwa trained . Kurusha risasi if hatari ni imminent. Na hili suala la mikuki liko sana hifadhi ya ruaha na serengeti.
Hizi hifadhi mbili zimepoteza askari wengi kwa kuogopa kutumia silaha pale wanaporushiwa mikuki.
Sikuiz wanarusha fire na mfugaji akifariki. Familia zao zinakuja juu.
In command. Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama ktk mkoa husika. Anaweza kukomand forces zilizopo mkoani mwake.
Na sheria zimempa power. Maana yule ni mwakilishi wa rais.
Unless rais mwenyewe abatilishe amri hiyo. Otherwise itatekelezwa .
Brother.. si kila command inatoka kwa rais. Otherwise polisi,jeshi la wananchi, uhamiaji na majeshi mengine. Yangeweza kumgomea mkuu wa mkoa na asifanye kitu.Hana hizo powers za kucomand forces , powers zake ni very limited, kaangalie tena majukumu ya mkuu wa mkoa, kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama au mwakilishi wa Rais hakukupi authority ya kucomand forces.
Ni sheria ipi imempa mamlaka RC ya kukomand forces.Brother.. si kila command inatoka kwa rais. Otherwise polisi,jeshi la wananchi, uhamiaji na majeshi mengine. Yangeweza kumgomea mkuu wa mkoa na asifanye kitu.
Yes anayo hiyo power. Until rais atakapo badilisha. Haijalishi yuko limited or not. If ana access kisheria basi hakuna cha kupinga.
Ana mihemko isiyo na tija,RC hopeless duniani !! Busara zero kabisa
Wote tu Maasai, Mang'ati, Wasukuma wao cha msingi, mifugo ishibe, izaane, sijui hifadhi, mazao ya wakulima!Ila wafugaji wakimasai huwa ni wabbishi sana