RC Chalamila: Wanaume wengi wa Mkoani Mbeya wanapenda kulelewa

Amechemka kukaa mbeya huyu na shida yake kubwa ukiona anatamka haya ujue siku hiyo chupa iliamka ba Chai.
 
Hajafika kwa wagogo huyo

Mbona wanyakyusa wanapambana sana
 
Sisi wanaume wa kinyakyusa kiutamaduni wa zamani ni waheshimiwa nyumbani kwaio malafyale anapokua nyumbani anatakiwa kupewa taarifa ya chochote kinachoendelea na kutolea maaumuzi
Kwa dunia hii ya kuchanganya tamaduni na kutojua tamaduni za watu toka zamani ndio hapo watu wanapokuja kusema wanaume wa mbeya wanalelewa especially kwa kabila langu unakuta wanawake wenyewe wanao jua hizo tamaduni hata kununua vitu vya nyumbani wananunua wenyewe yani usiposhtuka unaweza kukuta hata nyumba bibie ashakujengea anakwambia mume wangu tuhamie
Kwaio tamaduni mala nyingi haziwezi kufa
Kuhusu unyanyasaji wa kijinsia wakuu wanawake wa mbeya ndio maana Mungu kawapa miili jumba mzee wana nguvu wale watu huwezi mpiga yani mtapigana
Kwaio mpuuzi huyu apuuzwe haraka dunia nzima mapenzi hayahamuliwagi mahakamani ni chumbani tena na watu wa wili

Wanaume wa mbeya ndio kawaida yao kutuchafua .
 
Kamanda umeandika pumba na upumbavu,hii ni uthibitisho makamanda wengi hamna akili, mnatuaibisha sana tunaojitambua.
Wewe ndo mpumbafu yaani unachopinga ni nini hasa au huyu kakosea wapi. Mbeya siyo pwani wanaume tuna miradi yetu maarifa na kazi zetu wapi na wapi mambo ya kulelewa.

Tena unajiona unaijua Chadema huna lolote kabisa.
 
wanaume wa Mbeya mbona mnacheka cheka na huyu . Wakina Mwasakafyuka, Mwambipile, Mwasomola kweli mnalelewa nyie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya tuna mashamba na mazao ya kudumu kama migomba lakini pia nchi inategemea ndizi, viazi,karoti, parachichi, mbao, maharage toka mbeya na kila siku tunasafirisha tani nyingi ina maana vyote hivyo vinalimwa na wanawake.

Ifike hatua ujinga wa mtu mmoja usitumike kutuhukumu wote. Atuombe radhi.
 
Pale Rungwe na Uyole mepita nkakuta kina mama wengi wamebeba watoto mgongoni huku wakiuza matunda na mazao mbali mbali ya mashambani. Nkashangaa, kuuliza wakaniambia vijana/wanaume wako nyumbani wakisubiri kipato cha mama.
 
Wanaume wamikoani mnatuangusha yaani sisi majemedari wa DSM tunapambana alafu nyie mna lelewa hadi viongozi wenu wanachukia hii ni aibu kubwa sana yaani 🀣🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mnajuana eee, yeye alisha acha kulelewa sasa anawambia wenzie waache kulelewa
Hakuna mwanambogamboga asiyelelewa.
Chama chenyewe kinalelewa na vyombo vya dola,ndio utegemee wafuasi wake wasilelewe!!??
 
Pale Rungwe na Uyole mepita nkakuta kina mama wengi wamebeba watoto mgongoni huku wakiuza matunda na mazao mbali mbali ya mashambani. Nkashangaa, kuuliza wakaniambia vijana/wanaume wako nyumbani wakisubiri kipato cha mama.
Acha uongo wewe
 
Point
 
Wanaume wa Mbeya bwana si Wanyakyusa si Wasafwa....yaani wavivu mno, wao wanafikiri kulewa na kulawitiana migombani pamoja na kurogana ndiyo maisha.
 
Huwa najiuliza hivi hawa watu bila kuwa na hivyo vyeo wangeweza kutoboa kama mengi(rip), moe, nk japo wapo waliopata ubunge kutokana na pesa wanazomiliki kama kishimba,Jah people, Sauli nk, lakini wengi wanategemea hizo nafasi siku wakitolewa huwa wanapotea jumla huhuwasikii tena kuvuma ktk nyanja za kiabiashara, michezo, nk kwa nini? Chalamila akitolewa kwenye hicho cheo hutamsikia tena labda ndugu zake tu ndio watamfahamu.
 
Hakuna mwanambogamboga asiyelelewa.
Chama chenyewe kinalelewa na vyombo vya dola,ndio utegemee wafuasi wake wasilelewe!!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja zitafutwe mbeleko tu za chuma
 
Wanaume wa Mbeya bwana si Wanyakyusa si Wasafwa....yaani wavivu mno, wao wanafikiri kulewa na kulawitiana migombani pamoja na kurogana ndiyo maisha.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mbona mapovu sana kisu kimegusa mfupa nini!!?
 
[emoji23][emoji23] kwahiyo ukicheza unakula mkono haa haa kweli wananguvu wale wamama, kazi wanazofanya zinawapa stamina
 
[emoji23][emoji23] kwahiyo ukicheza unakula mkono haa haa kweli wananguvu wale wamama, kazi wanazofanya zinawapa stamina
Yan ni noma mimi sinamuona maza yangu ashatwanga watu mtaani kama wawili hivi ...vijana walitaka kumendea binamu zangu mwaka jana likizo walikuja wakiwa form 6 now wanaingia chuo batch hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…