Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Wanaume wa mikoani hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo Mzee hapo hutikisa mguu tu haaa haaYan ni noma mimi sinamuona maza yangu ashatwanga watu mtaani kama wawili hivi ...vijana walitaka kumendea binamu zangu mwaka jana likizo walikuja wakiwa form 6 now wanaingia chuo batch hii
Umeona eeh! Huyu jamaa ni mshenzi mshenzi tuMbeya tuna mashamba na mazao ya kudumu kama migomba lakini pia nchi inategemea ndizi, viazi,karoti, parachichi, mbao, maharage toka mbeya na kila siku tunasafirisha tani nyingi ina maana vyote hivyo vinalimwa na wanawake.
Ifike hatua ujinga wa mtu mmoja usitumike kutuhukumu wote. Atuombe radhi.
Ukiona katoa kauli kama hizi ujue siku hiyo chupa imeamka na chai maana jamaa ni pampula hatari hawezi kulala bila machicha ya pombe tumboni.Including na yeye!!
Kabisa Jamaa anaonekana "CHAPOMBE" sana.Ukiona katoa kauli kama hizi ujue siku hiyo chupa imeamka na chai maana jamaa ni pampula hatari hawezi kulala bila machicha ya pombe tumboni.
Siyo Mbeya mkuu, wale kwa asilimia kubwa wanajituma sana, si wanawake si wanaume. Inawezekana wakawepo wachache wenye hulka hiyo haswa huko maporini, lakini kwa picha ya jumla, ni watu wa kazi kweli kweli.