RC Chongolo awaambia Wakazi wa Mbozi "Msitumikishe Watoto kwa kazi za shamba, wapelekeni Shule"

RC Chongolo awaambia Wakazi wa Mbozi "Msitumikishe Watoto kwa kazi za shamba, wapelekeni Shule"

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia kujiandaa na ushindani wa soko la ajira.

RC Chongolo amejulishwa kuwa Wilaya hiyo ina wastani wa Asilimia 84 ya Watoto walioenda shule wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.

Amewataka Wazazi na Walezi kupeleka Watoto Shule na kuacha kuwatumikisha kwenye mashamba.

Pia soma:
~
Wanafunzi Wilaya ya Mbozi (Songwe) wanalimishwa kwenye mashamba binafsi ya Walimu
~ RC Chongolo: Mkoa wetu una shida ya Ubakaji, Ulawiti na mauaji
 
Back
Top Bottom