RC Chongolo: Malipo ya Wakulima kutoka NRFA yamechelewa kidogo, Waziri amenihakikishia watalipwa

RC Chongolo: Malipo ya Wakulima kutoka NRFA yamechelewa kidogo, Waziri amenihakikishia watalipwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo akiongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo amesema malipo ya Wakulima wanaoidai Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) watalipwa malipo yao hivi karibuni na kukiri malipo yalichelewa kidogo.

Chongolo ameyasema hayo Desemba 11, 2024

Hivi karibuni Desemba 4, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Wakulima wa Songwe na Rukwa hawajalipwa malipo yao ya kuuza Mahindi na hakuna maelezo yoyote kutoka kwenye mamlaka ya NRFA.

Pia soma ~
Serikali itulipe Wakulima wa Mahindi Songwe na Rukwa, tunaanza kula mitaji, hatujui hatma ya malipo yetu
 
Back
Top Bottom