2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
- Thread starter
- #41
Asante sana mkuu,chukua 👊Acha kukariri ndugu.
Imani yako ya kikatoliki isikufanye kuona watu wenye imani zingine ni wajinga au wapumbavu.
Imani ni suala binafsi sana, mpaka mtu anaamua kutoka imani moja kwenda nyingine ni lazima alihusisha Akili yake na kutafakari vizuri. Huyo mtu muheshimu hata kama mnatofautiana naye.
Ngoja nikutafakarishe kitu kimoja hapa.
Hivi unajua zaidi ya 90% ya wakatoliki wako kwenye ukatoliki kwa sababu tu, walizaliwa na kulelewa na wazazi wakatoliki. Hapo akili ya muumini imetumikaje?