Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
You see...Nani alisema kwamba kazi ya roho mtakatifu iliisha baada ya kuandikwa kwa Biblia? Biblia ni kitabu kitakatifu, chenye kuongoza mafunzo ya wokovu wetu. Ila Mwenyezi Mungu hajaacha kuendelea kufanya kazi zake baada ya kuandika biblia.Kwann ww ni mkatoliki? Nipe sababu zinazotegemea biblia.
Kwa maana hiyo basi, ukitaka kuelewa vizuri mafundisho na miongozo ya kanisa katoliki, weka jazba na emotions pembeni. Chukua biblia yako na usogee kujifunza, ili uwe hakimu wa haki.
You will be surprised to see what is there inside the church.....
Leo hii hata mashoga wanatumia biblia kuhalalisha ushoga. Wauaji nao. Na kila aina ya dhambi. Kwa maana hiyo utakatifu wa Mwenyezi Mungu uko katika biblia na hata nje ya biblia. Ni Mungu mwenye nguvu na uwezo wote, asiyewekewa mipaka na binadamu au kiumbe cha aina yoyote