Nakazia hapohapo..Kanisa ni moja, Takatifu, Katoliki la mitume.
Mengine ni madhehebu, Ila kanisa ni moja.
Amri ya kanisa, Toa zaka na changia kanisa.Madhaifu ya wachache hayaondoi umuhimu na mema ya kanisa
Kwa kuongezea...yeye aondoke tu...hakuna wakumfunga kamba, tena ikiwezekana aondoke na familia au ukii wake wote.
Hili kanisa limeishapitia kipindi kigumu sana huko nyuma na halikufa..
Sisi RC hatumpiganii Mungu wetu....yeye mwenyewe ajipiganie...kwa hiyo maneno ya mtu au experience binafsi ya mtu yoyote haiwezi kutisha wala kutingisha kanisa.
RC ni kama institution ambayo huwezi ukaona mtu mmoja anayeimiliki na hayupo...ni kama serikali tu.....