RC dhoofu: Jumuiya zimebaki na kina mama tu tena wazee

RC dhoofu: Jumuiya zimebaki na kina mama tu tena wazee

Hata kama bado majukumu hana,ana majukumu gani?
Kufanya ibada za mazishi,kutembelea wagonjwa,kutembelea na kusimamia taasisi mbalimbali za Kanisa shule hospital vituo vya mayatima pamoja na kuhudhuria vikao kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali kutoka jimboni etc.

That's why nikakwambia wewe hukuwahi kuwa Mkatoliki,haya nimekuongeza hint hapo tafuta wakubishana nao tena.
 
Njooni kwenye uislamu ni dini ya haki ni dini isiyo na makandokando. Njooni muipate ladha ya kuamini mungu mmoja. Karibuni katika uislamu mjiepushe na sononeko la kiimani.
Tena huko ndo makando kando kama yote.
Huku ndo kuna kuaidiwa bikra 72 kweli.Na mtu unakubali tuu.
 
Kwa kuongezea...yeye aondoke tu...hakuna wakumfunga kamba, tena ikiwezekana aondoke na familia au ukii wake wote.
Yesu au Paulo wangekuwa na mtazamo kama wa kwako ukristo usingeenea
 
Acheni blah blah unaweza kuta ni dini nyingine kabisa amekaa na kuandika mada hii ya kijinga kwani imejaa ujinga mtupu mosi sidhani kama kuna siku mtu alishikiwa kiboko aingie kanisani Rc ni kwa mapenzi yako na utashi wako.

Kama umesali Rc ukaona unachokitafuta hukipati ni vema ukaondoka polepole na kuwaachia watu kanisa lao, shida tumekua tunapenda vya kirahisi sana Ukatoliki ni mateso ukatoliki ni kufia dini na kuitetea ikibidi hata kumwaga damu.

Kumbuka mitume wa Yesu waliteseka na bado hawakuikana imani yao leo wewe michango tu unataka kukimbia dini kama huna waambie viongozi wako huna.

Mnapiga kelele humu siku na siku yamekufika kanisa limekataa kukupa huduma stahiki unaanza kelele zako.

Uzuri siku hizi madhehebu mengi kuna mpaka free church kuna yakuoa wake hata wanne chagua unalotaka then hamia huko.

Fwata Moyo wako unakokutuma,

Mimi ni kijana na Jumuiya naenda na bado nakutana na vijana wengine wengi tu hizi pumba zako ulizoandika humu sijui umeokoteza wapi

Kuna Viwawa ndio kwanza kila siku vijana wanazidi kuimarika kwa kifupi hata madhehebu mengine yameiga Jumuiya toka Rc

Mungu akusamehe manake hujui ulitendalo
 
Njooni kwenye uislamu ni dini ya haki ni dini isiyo na makandokando. Njooni muipate ladha ya kuamini mungu mmoja. Karibuni katika uislamu mjiepushe na sononeko la kiimani.
Nakataa mkuu. Unajua uislamu ulikuwaga unaenezwa kimabavu.
Hizi Ni tamaduni za Arabs vipi na wahindi watakuambia wao wako poa. Kila mtu anajivutia kwake na anataka kukuona you msafi mbele ya wengine. Hivi kweli unahidiwa wanawake sijui wangapi Wana matako futi sijui hamsini ukiirithi pepo.


Ishu iko hivi dini Inacheza na saikolojia ya binadamu. Mana anapenda Raha ama Bata aka pleasure,yaani bianadamu anapenda Raha kwa gharama zozote na ndio Mana anaambiwa ivyo ili apambane akale Raha mbinguni Mara magari ya kifahari.


Pia second saikolojia ya bianadamu wanayocheza nayo Ni hofu Tena hofu kuu kuliko hofu zote za binadamu ambayo Ni kifo

So anatishiwa kifo Mara Moto ziwa la Moto ili akae mstarini na bila ya ivyo binadamu Ni mgumu mno kubadilika ivyo lazima atishiwe maumivu ya Moto Tena wa milelle ili apunguze Tabia zake na bado hawezi kuziacha
 
U
Unaaibishwa vipi?

Wengi mnaochangia hizi mada siyo wakatoliki jueni na jifunzeni kwamba jumuiya ndogo ndogo ni kwa ajili ya kusali pamoja familia za mtaa (kisheria ni nyumba 20) za mtaa husika na kusaidiana kwa mambo mbalimbali na siyo kwa ajili ya kukusanya michango,hapa ndipo tajiri ataingia kwaenye nyumba ya maskini na maskini ataingia kwenye nyumba ya tajiri.ajabu mchango unaozungumzwa hapa ni sadaka au tunisha mfuko nashangaa muumini anakaza shingo asijue ile ni ibada kamili na hizo sadaka haziendi popote ni kwa ajili ya manufaa yenu wenyewe.

Mfano sisi mwanajumuiya akipata tatizo inatolewa pesa ktk hazina kwa ajili ya kumfariji how ulalamike vitu kama hivyo?hii lugha michango michango inazungumzwa hapa as if ni Catholic pekee ndiyo wanaojiendesha kwa pesa,wewe msabato usitoe sadaka umeme uishe au jengo la Kanisa lipate hitilafu uone kama utafanya ibada kwa amani.
Uliona wapi sadaka inapangwa kiasi?
Kila nyumba itachanga 50,000, tukikaa kidogo ujenzi 200,000 na kila kila mwezi unapangiwa kiasi cha kupunguza...

HIVI UNAJUA MASHARTI YA KUTOA SADAKA? HATA MKONO MWINGINE HAUTAKIWI KUJUA...Je haya madaftari ya michango kwenye jumuiya ni sadaka?
 
Mtoa mada umeongea Jambo la maana Sana

Watu wengi tumejikuta tumezaliwa ndani ya hizi Imani lkn hatujapa Mda wa kujifunza kiundani na kujua msingi hasa WA Imani husika,matokeo yake upo kama haupo

Kuna haja kubwa ya kuzijua hizi Imani zetu ili mwisho wa siku tujue tunasimamia wapi

Kuna mzungu mmoja anasema alifanya tafiti nyingi katika Dini mbali mbali lakini mwisho wa siku alipokuja kufanya tamati au hitimisho la utafiti wake,aliona na kuamini kabisa tendo sahihi la KUABUDIWA Mwenyezi Mungu ni kusujudiwa na ndio ibada sahihi.

Mtoa mada Uishi Maisha marefu.

Shukrani.
umeeleweka mkuu sio mbaya kuwashawshi na wngne waje upnde wako
 
Kwa sasa nyumba nyingi za ibada zinakimbiwa na waumini, hii unatokana waumini kuchoshwa na mienendo ya kanisa ambayo ni tofauti na lilichoachwa na mitume.

Jumuia inabaki na wabibi tena wachache sana hata kupita mtaani kupeleka msalaba nyumba nyingine wanaona aibu.

MAMBO YANAYOCHOSHA
Nipokuwa katoliki sikuweza kufungua Biblia wala kuielewa mpaka nilipochukua hatua mwenyewe.
Mafundisho mengi ya uongo, hii imefanya waumini kuanza kuichunguza Biblia ili kupatanisha na mafundisho yanapoonekana ni tofauti wengi wanakata tamaa na kuhamia sehemu nyingine au kuchana na kanisa kabisa.

ULAFI WA VIONGOZI WA KIROHO
Kiongozi wa dini anafundisha upendo lakini yeye akiwa mbinafsi na Asiyejali.

UBAGUZI
Waliopewa dhamana wanaangalia zaidi maslahi kuliko kondoo, mwenye pesa ndio huzikwa na Padri hata kama hakuwa muumini, asiye na pesa atazikwa na jumuiya tu.

MICHANGO MINGI.
Hii toa toa tu ya ulichonacho kimekatisha wengi tamaa, kutoa sadaka kwa mstari kunapunguza waumini sababu kuna mengine weenda kusikiliza neno lakini hawana chochote, anapobaki kwenye benchi anaaibika na siku nyingine haji.

USIRI NA KULINDANA
Kuna vitendo vingi sana vya unyanyasaji kingono vinavyofanywa na mapandri dhidi ya vijana wadogo, mapadri kuzaa na masista kisiri, mapadri kuwa na watoto mitaani na hakuna hatuwa wanayochukuliwa.

Kilichobaki kwenye hizi dini kubwa ni kurithishana dini tu wala si mafundisho tena,ukizaliwa romani basi na ww ni mroma, ukizaliwa uislamu na ww utakuwa muislamu lakini mafundisho halisi ya dini yako unakuwa hujui hata kidogo,hata kuitetea imani inakupa tabu.

Ombeni nanyi mtapewa,Tafuteni nanyi mtapata, TAFUTENI KWELI MTAKUWA HURU.
Tafuta hela.. kinachokusumbua wewe ni stress za kimaisha
 
nak
Njooni kwenye uislamu ni dini ya haki ni dini isiyo na makandokando. Njooni muipate ladha ya kuamini mungu mmoja. Karibuni katika uislamu mjiepushe na sononeko la kiimani.
uja na mimi mnitafute katoto ka miaka 6 nioe
 
Aliyehama ukatoliki haujui ukatoliki vizuri
wengi wao uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo ni finyu (IQ Ndogo)

Waliozaliwa kwenye madhehebu au Didi nyingine sina neno juu yao kwani wao wanasikia na kulishwa sumu

Narudia aliyehama Rc hana uwezo wa kuisimamia familia yake.
Wanataka maajabu...kupona viwete...ila sio kufufua wafu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kanisa ni moja, Takatifu, Katoliki la mitume.

Mengine ni madhehebu, Ila kanisa ni moja.
Amri ya kanisa, Toa zaka na changia kanisa.Madhaifu ya wachache hayaondoi umuhimu na mema ya kanisa
Ni sehemu gani kwenye Biblia imeandikwa kanisa ni moja takatifu katoliki la mitume
Soma mwanzo hadi ufunuo unipe hilo jina!
Na je kwenye ufunuo yale makanisa saba ni ya wapi?
Soma Biblia uelewe vizuri ukiongozwa na Roho Mtakatifu akupe macho ya rohoni
 
Hivi karibuni jimbo kuu Katoliki la Songea waliwachangisha waumini pesa za kununua gari la Parokia kwa thamani ya tsh.ml 80,waumini walijipinda kuchangia huku wakihoji kwa nini wanunue gari ya pesa ndefu kiasi hicho?walipoona minongono imezidi wakaja ufafanuzi kuwa gari zinazonunuliwa ni mbili.awali kalbla ya hapo kulikuwa na ukarabati wa Kanisa uliogharimu tsh.ml 700/-ambapo yote hiyo ni waumini walichangishwa kupitia jumuiya ndogondogo za Kikristu.sasa hivi wamekuja na mpango wa kujenga fence kuzunguka majengo ya Kanisa ambapo tayari waumini wametangaziwa kuchangia kupitia Jumuia kufanikisha ujenzi huo.ukweli waumini wanaumizwa sana
 
Back
Top Bottom