Oubobe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2022
- 360
- 801
Hakuna nilipomtetea nimesema sijamtaja kwa nia ovu km unavyomchafua hio sio sawa,Haya endelea kumtetea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna nilipomtetea nimesema sijamtaja kwa nia ovu km unavyomchafua hio sio sawa,Haya endelea kumtetea.
Yaan unamaanisha Askofu Yuda Thadeus Rwaichi, Askofu Mkuu Jimbo Kuu la DsmNaomba niweke rekodi sawa.
Sikumaanisha Kilaini, namaanisha RUWAICHI.
Baba askofu anatumia LANDCRUISER ya MILIONI 200.Kasisi gani anaye endesha Landcruiser ya milioni 200? Maaskofu wetu wenyewe tu hawajafikia kuendesha magari ya aina hiyo!
Most of our Priests wanamiliki Landcuiser Hardtop, Toyota double cabin! Tena zenye namba za zamani kabisa, na wakiwa wengi wao walipewa kama zawadi/msaada na wafadhili wao wa MIVA! Na magari hayo hutumiwa kwa ajili ya uinjilishaji
Au mwenzangu unaongelea Kanisa Katoliki la wapi hilo?
Yes, yule mjinga aliyekuwa anavaa mabarakoa enzi za magufuli na corona.Yaan unamaanisha Askofu Yuda Thadeus Rwaichi, Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Dsm
Ndio huyo?
Kwa hiyo mimi kazi yangu ni kumsikiliza huyo Askofu Methodius Kilaini kwenye redio! Au hicho kipindi kilkuwa ni special kiasi cha waumini wote kutakiwa kukisikiliza?Askofu Methodius Kiraini aliwahi kuulizwa swali kuhusu michango mingi ya kanisa na Jumuiya ndogo ndogo, kwenye kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, unajua alijibu nini?
Nijibu hapa alafu tuendelee
Mmh, unamjua vizuri lakini mboni km hauna uhakika na unachokisema, wengi mboni walikua wanavaa barako hata Marehemu Musinyori Deogratius Mbiku alikua anavaa barakoa mkuuYes, yule mjinga aliyekuwa anavaa mabarakoa enzi za magufuli na corona.
Unaaibishwa vipi?Ukiwa huna kipato hizo jumuiya ni kuaibishwa daily
Shida iko wapi hata akitembelea gari yenye thamani hiyo? Unataka Askofu atembelee mkokoteni? Hakika mtaumia sana. Ila kamwe hamtaweza kulishinda Kanisa la Mungu!Baba askofu anatumia LANDCRUISER ya MILIONI 200.
Kitu mayai, inanesa kwenye mashimo na mabonde.
Mlei unakula vumbi tu na kutoa sadaka huku ukiimba pambio la kutetea dini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usitufanye km sisi hatujakulia maisha ya Jumuiya yooote unayoyaeleza tunayajua, kinacholalamikiwa hapa ni Michango mingi kwenye Jumuiya enzi za zamani michango ilikua ni Zaka, Sadaka na Vipaji tu hakukua na michango mingine tofauti na hioUnaaibishwa vipi?
Wengi mnaochangia hizi mada siyo wakatoliki jueni na jifunzeni kwamba jumuiya ndogo ndogo ni kwa ajili ya kusali pamoja familia za mtaa (kisheria ni nyumba 20) za mtaa husika na siyo kwa ajili ya kukusanya michango,ajabu mchango unaozungumzwa hapa ni sadaka au tunisha mfuko nashangaa muumini anakaza shingo asijue ile ni ibada kamili na hizo sadaka haziendi popote ni kwa ajili ya manufaa yenu wenyewe.
Mfano sisi mwanajumuiya akipata tatizo inatolewa pesa ktk hazina kwa ajili ya kumfariji how ulalamike vitu kama hivyo?hii lugha michango michango inazungumzwa hapa as if ni Catholic pekee ndiyo wanaojiendesha kwa pesa,wewe msabato usitoe sadaka umeme uishe au jengo la Kanisa lipate hitilafu uone kama utafanya ibada kwa amani.
Walei tunakanyagia mayeboyebo halafu nyie makasisi mnaendesha magari yanayonesa.Unaaibishwa vipi?
Wengi mnaochangia hizi mada siyo wakatoliki jueni na jifunzeni kwamba jumuiya ndogo ndogo ni kwa ajili ya kusali pamoja familia za mtaa (kisheria ni nyumba 20) za mtaa husika na siyo kwa ajili ya kukusanya michango,ajabu mchango unaozungumzwa hapa ni sadaka au tunisha mfuko nashangaa muumini anakaza shingo asijue ile ni ibada kamili na hizo sadaka haziendi popote ni kwa ajili ya manufaa yenu wenyewe.
Mfano sisi mwanajumuiya akipata tatizo inatolewa pesa ktk hazina kwa ajili ya kumfariji how ulalamike vitu kama hivyo?hii lugha michango michango inazungumzwa hapa as if ni Catholic pekee ndiyo wanaojiendesha kwa pesa,wewe msabato usitoe sadaka umeme uishe au jengo la Kanisa lipate hitilafu uone kama utafanya ibada kwa amani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida iko wapi hata akitembelea gari yenye thamani hiyo? Unataka Askofu atembelee mkokoteni? Hakika mtaumia sana. Ila kamwe hamtaweza kulishinda Kanisa la Mungu!
Mlilikuta, na mtaliacha. This is what i promise you.
Sasa kama unaona michango ni mingi si hamia Kanisa lisilo na michango! Kwa nini mnalalamika bila ya kuchukua hatua? Kuna mtu kawafunga kamba?Usitufanye km sisi hatujakulia maisha ya Jumuiya yooote unayoyaeleza tunayajua, kinacholalamikiwa hapa ni Michango mingi kwenye Jumuiya enzi za zamani michango ilikua ni Zaka, Sadaka na Vipaji tu hakukua na michango mingine tofauti na hio
Kwanini mnakataa kutuzika kisa sadaka!Sasa kama unaona michango ni mingi si hamia Kanisa lisilo na michango! Kwa nini mnalalamika bila ya kuchukua hatua? Kuna mtu kawafunga kamba?
Andika facts basi kama mtu aliyepita shule.Walei tunakanyagia mayeboyebo halafu nyie makasisi mnaendesha magari yanayonesa.
Hii si haki baba paroko. Na mwaka huu hatutoi sadaka.
Mkafanye kazi mle kwa jasho. Alaah!
Tate Mkuu
Nani anakukamua! Kuna mtu aliwahi kukushtaki kwa kukataa kutoa hiyo michango! Na kama unaogopa kutengwa, shida iko wapi! Hamia Kanisa la Masanja Mkandamizaji! Huko utaishi maisha ya amani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasisi aendeshe angalau RAV 4.
Kubana matumizi, sio tunakamuliwa ili padri aishi kwa anasa.
Nimekuuliza swali unarukaruka, don't be like useless jibu swali langu nimeku-tag kwenye swali na nilikulenga wewe sio mtu mwingine yoyoteSasa kama unaona michango ni mingi si hamia Kanisa lisilo na michango! Kwa nini mnalalamika bila ya kuchukua hatua? Kuna mtu kawafunga kamba?
Miujiza kuliko hata ya Yesu. Ki ukweli binafsi nasikitishwa na mienendo ya hizi dini za kikristo. Nina uhakika hata Yesu mwenyewe angekuja leo angeshangwaza ni jinsi dini zilivyogeuka biashara. Miujiza ya michongo na mambo mengi yasifuata utamaduni na lengo la dini aliyo asisi.Karibu Kwa mwamposa ujionee miujiza Kaka. Archana na hao
Unauliza swali la kipuuzi halafu unategemea nitakujibu nini? Unaongelea habari ya Askofu Kikaini kuulizwa swali kwenye kipindi cha redio! Halafu unataka nikujibu, kana kwamba tulikuwa wote kusikiliza hicho kipindi!Nimekuuliza swali unarukaruka, don't be like useless jibu swali langu nimeku-tag kwenye swali na nilikulenga wewe sio mtu mwingine yoyote