Asante sana mkuu,chukua 👊Acha kukariri ndugu.
Imani yako ya kikatoliki isikufanye kuona watu wenye imani zingine ni wajinga au wapumbavu.
Imani ni suala binafsi sana, mpaka mtu anaamua kutoka imani moja kwenda nyingine ni lazima alihusisha Akili yake na kutafakari vizuri. Huyo mtu muheshimu hata kama mnatofautiana naye.
Ngoja nikutafakarishe kitu kimoja hapa.
Hivi unajua zaidi ya 90% ya wakatoliki wako kwenye ukatoliki kwa sababu tu, walizaliwa na kulelewa na wazazi wakatoliki. Hapo akili ya muumini imetumikaje?
Labda ni kule kwa Gwaji boy mzee wa kujirekodi akikata mauno huku akiwa na Pisi kaliMtoa mada haujawahi kuwa mkatoliki wa kweli. Lkn acha tuchukulie uliyoandika ni kweli.
Nieleze huko ulikohamia ni wapi?
Ni kule wanakouza mafuta ya kupaka na maji?
Ni kule kumuona nabii unalipia?
Ni kule mnakopangwa kwenye viti kutokana na uwezo wa kifedha alionao muumini?
Je ni kule maombi mnayoyaita deliverence wachungaji wanayafanyia Hotelini kwenye vyumba vya wageni?
Je ni kule wanakoruhusu dada kuingia kanisani akiwa nusu uchi?
Je ni kule Katibu wa kanisa anamla mama mchungaji na bado wanaruhusiwa kuwafanyia maombi waumini?
Hebu nieleze ni wapi uliko ambako upo salama.
Hii ndio funga kazi...MICHANGO MINGI.
Hii toa toa tu ya ulichonacho kimekatisha wengi tamaa, kutoa sadaka kwa mstari kunapunguza waumini sababu kuna mengine weenda kusikiliza neno lakini hawana chochote, anapobaki kwenye benchi anaaibika na siku nyingine haji.
Mnajidanganya sana na upumbavu [emoji1787][emoji1787]Kanisa ni moja, Takatifu, Katoliki la mitume.
Mengine ni madhehebu, Ila kanisa ni moja.
Amri ya kanisa, Toa zaka na changia kanisa.Madhaifu ya wachache hayaondoi umuhimu na mema ya kanisa
Jumuiya zimekua za Matajiri, km wewe ukijijua ni Masikini basi kaa kushoto, wenzio wengi wanafanya hivyo na wanaishia kutishwa kwamba "hawatazikwa na kanisa", kisa hawatoi michango ya Jumuiya sababu hali yao ni duniUkiwa huna kipato hizo jumuiya ni kuaibishwa daily
Raha yake niniMimi mkatoliki na nitabaki kuwa mkatoliki na ninafurahi mno kuzaliwa na wazazi wakatoliki. Ukatoliki raha sana.
Yaani Kanisa lilikuwepo tangu Karne ya Kwanza AD, halafu lije liyumbishwe na na wapuuzi wachache wanao ona ni bora kuhonga, kuliko kuchangia ujenzi wa nyumba ya Kasisi!!RC Bado Wana nguvu kubwa sio dhoofu kama unavyotaka kutusadikisha hapa.
Askofu Methodius Kiraini aliwahi kuulizwa swali kuhusu michango mingi ya kanisa na Jumuiya ndogo ndogo, kwenye kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, unajua alijibu nini?Yaani Kanisa lilikuwepo tangu Karne ya Kwanza AD, halafu lije liyumbishwe na na wapuuzi wachache wanao ona ni bora kuhonga, kuliko kuchangia ujenzi wa nyumba ya Kasisi!!
Wenye imani yetu tutabaki mpaka mwisho.
Nilishamkanya mke wangu kwenda kwenye jumuiya za ajabu ajabu.Jumuiya zimekua za Matajiri, km wewe ukijijua ni Masikini basi kaa kushoto, wenzio wengi wanafanya hivyo na wanaishia kutishwa kwamba "hawatazikwa na kanisa", kisa hawatoi michango ya Jumuiya sababu hali yao ni duni
Ndugu, usimchumie dhambi mpakwa mafuta wa Bwana, wewe ulichotakiwa ni kujibu swaliKwanza huyo KILAINI ni MALAYA wa kutupa....
Anajifanya anavaa misalaba mikubwa kumbe FUSKA
HahahaaaaYaani Kanisa lilikuwepo tangu Karne ya Kwanza AD, halafu lije liyumbishwe na na wapuuzi wachache wanao ona ni bora kuhonga, kuliko kuchangia ujenzi wa nyumba ya Kasisi!!
Jumuiya zimebadirika kipindi hikiNilishamkanya mke wangu kwenda kwenye jumuiya za ajabu ajabu.
Alijaribu kwenda nilimtandika makofi kweli kweli. Sitaki michango ya kufanya watu tunaishi kwa mashaka.
Kuzikwa na padri ndo kitu gani? Ujinga tu.
Wewe wasema, mimi hayo siyajui ndio kwanza nayasikia kutoka kwako mkuu na pia sikumtaja in negative way mboni unamchafua?Mpakwa mafuta gani anatombana ovyo kama kahaba?
Akwende na mafuta yake huko, mjinga sana yule.
Wananeemeka kupitia ujinga wa watu.Jumuiya zimebadirika kipindi hiki
Zamani kipindi cha nyuma hakukua na michango zaidi ya Zaka na Vipaji kila Jumapili na Jumuiya hupokezana kutoa Vipaji
Aliyehama ukatoliki haujui ukatoliki vizuri
wengi wao uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo ni finyu (IQ Ndogo)
Waliozaliwa kwenye madhehebu au Didi nyingine sina neno juu yao kwani wao wanasikia na kulishwa sumu
Narudia aliyehama Rc hana uwezo wa kuisimamia familia yake.
Haya endelea kumtetea.Wewe wasema, mimi hayo siyajui ndio kwanza nayasikia kutoka kwako mkuu na pia sikumtaja in negative way mboni unamchafua?
Kasisi gani anaye endesha Landcruiser ya milioni 200? Maaskofu wetu wenyewe tu hawajafikia kuendesha magari ya aina hiyo!Hahahaaaa
Kasisi anaendesha LANDCRUISER ya milioni 200, halafu wewe MLEI UCHWARA unakanyagia yeboyebo.
Tate umepotoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyehama ukatoliki haujui ukatoliki vizuri
wengi wao uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo ni finyu (IQ Ndogo)
Waliozaliwa kwenye madhehebu au Didi nyingine sina neno juu yao kwani wao wanasikia na kulishwa sumu
Narudia aliyehama Rc hana uwezo wa kuisimamia familia yake.
Na ukibishana nao unaonekana wewe ni muasi uhame kanisa uende ambako hakuna michango ila jua kwamba ukifa hawakuzikiWananeemeka kupitia ujinga wa watu.
Naomba niweke rekodi sawa.Wewe wasema, mimi hayo siyajui ndio kwanza nayasikia kutoka kwako mkuu na pia sikumtaja in negative way mboni unamchafua?