Kufanya ibada za mazishi,kutembelea wagonjwa,kutembelea na kusimamia taasisi mbalimbali za Kanisa shule hospital vituo vya mayatima pamoja na kuhudhuria vikao kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali kutoka jimboni etc.Hata kama bado majukumu hana,ana majukumu gani?
Tena huko ndo makando kando kama yote.Njooni kwenye uislamu ni dini ya haki ni dini isiyo na makandokando. Njooni muipate ladha ya kuamini mungu mmoja. Karibuni katika uislamu mjiepushe na sononeko la kiimani.
Huko kwenu mnaandaa misosi?Ukiwa huna kipato hizo jumuiya ni kuaibishwa daily
Tunakanyagia mayeboyebo mpaka visigino vinaumuka. Mtuonee huruma.
Nakataa mkuu. Unajua uislamu ulikuwaga unaenezwa kimabavu.Njooni kwenye uislamu ni dini ya haki ni dini isiyo na makandokando. Njooni muipate ladha ya kuamini mungu mmoja. Karibuni katika uislamu mjiepushe na sononeko la kiimani.
Makanisa mengi yanajengwa kwa mkopo likiisha bado hardware wanadai hela zao.KANISA LILIISHA JENGWA ZAMANI, LAKINI MAPAKA SASA KUNA SADAKA YA JENGO KILA WIKI
Uliona wapi sadaka inapangwa kiasi?Unaaibishwa vipi?
Wengi mnaochangia hizi mada siyo wakatoliki jueni na jifunzeni kwamba jumuiya ndogo ndogo ni kwa ajili ya kusali pamoja familia za mtaa (kisheria ni nyumba 20) za mtaa husika na kusaidiana kwa mambo mbalimbali na siyo kwa ajili ya kukusanya michango,hapa ndipo tajiri ataingia kwaenye nyumba ya maskini na maskini ataingia kwenye nyumba ya tajiri.ajabu mchango unaozungumzwa hapa ni sadaka au tunisha mfuko nashangaa muumini anakaza shingo asijue ile ni ibada kamili na hizo sadaka haziendi popote ni kwa ajili ya manufaa yenu wenyewe.
Mfano sisi mwanajumuiya akipata tatizo inatolewa pesa ktk hazina kwa ajili ya kumfariji how ulalamike vitu kama hivyo?hii lugha michango michango inazungumzwa hapa as if ni Catholic pekee ndiyo wanaojiendesha kwa pesa,wewe msabato usitoe sadaka umeme uishe au jengo la Kanisa lipate hitilafu uone kama utafanya ibada kwa amani.
umeeleweka mkuu sio mbaya kuwashawshi na wngne waje upnde wakoMtoa mada umeongea Jambo la maana Sana
Watu wengi tumejikuta tumezaliwa ndani ya hizi Imani lkn hatujapa Mda wa kujifunza kiundani na kujua msingi hasa WA Imani husika,matokeo yake upo kama haupo
Kuna haja kubwa ya kuzijua hizi Imani zetu ili mwisho wa siku tujue tunasimamia wapi
Kuna mzungu mmoja anasema alifanya tafiti nyingi katika Dini mbali mbali lakini mwisho wa siku alipokuja kufanya tamati au hitimisho la utafiti wake,aliona na kuamini kabisa tendo sahihi la KUABUDIWA Mwenyezi Mungu ni kusujudiwa na ndio ibada sahihi.
Mtoa mada Uishi Maisha marefu.
Shukrani.
Tafuta hela.. kinachokusumbua wewe ni stress za kimaishaKwa sasa nyumba nyingi za ibada zinakimbiwa na waumini, hii unatokana waumini kuchoshwa na mienendo ya kanisa ambayo ni tofauti na lilichoachwa na mitume.
Jumuia inabaki na wabibi tena wachache sana hata kupita mtaani kupeleka msalaba nyumba nyingine wanaona aibu.
MAMBO YANAYOCHOSHA
Nipokuwa katoliki sikuweza kufungua Biblia wala kuielewa mpaka nilipochukua hatua mwenyewe.
Mafundisho mengi ya uongo, hii imefanya waumini kuanza kuichunguza Biblia ili kupatanisha na mafundisho yanapoonekana ni tofauti wengi wanakata tamaa na kuhamia sehemu nyingine au kuchana na kanisa kabisa.
ULAFI WA VIONGOZI WA KIROHO
Kiongozi wa dini anafundisha upendo lakini yeye akiwa mbinafsi na Asiyejali.
UBAGUZI
Waliopewa dhamana wanaangalia zaidi maslahi kuliko kondoo, mwenye pesa ndio huzikwa na Padri hata kama hakuwa muumini, asiye na pesa atazikwa na jumuiya tu.
MICHANGO MINGI.
Hii toa toa tu ya ulichonacho kimekatisha wengi tamaa, kutoa sadaka kwa mstari kunapunguza waumini sababu kuna mengine weenda kusikiliza neno lakini hawana chochote, anapobaki kwenye benchi anaaibika na siku nyingine haji.
USIRI NA KULINDANA
Kuna vitendo vingi sana vya unyanyasaji kingono vinavyofanywa na mapandri dhidi ya vijana wadogo, mapadri kuzaa na masista kisiri, mapadri kuwa na watoto mitaani na hakuna hatuwa wanayochukuliwa.
Kilichobaki kwenye hizi dini kubwa ni kurithishana dini tu wala si mafundisho tena,ukizaliwa romani basi na ww ni mroma, ukizaliwa uislamu na ww utakuwa muislamu lakini mafundisho halisi ya dini yako unakuwa hujui hata kidogo,hata kuitetea imani inakupa tabu.
Ombeni nanyi mtapewa,Tafuteni nanyi mtapata, TAFUTENI KWELI MTAKUWA HURU.
uja na mimi mnitafute katoto ka miaka 6 nioeNjooni kwenye uislamu ni dini ya haki ni dini isiyo na makandokando. Njooni muipate ladha ya kuamini mungu mmoja. Karibuni katika uislamu mjiepushe na sononeko la kiimani.
Kanisa ni moja, Takatifu, Katoliki la mitume.
Mengine ni madhehebu, Ila kanisa ni moja.
Amri ya kanisa, Toa zaka na changia kanisa.Madhaifu ya wachache hayaondoi umuhimu na mema ya kanisa
Wanataka maajabu...kupona viwete...ila sio kufufua wafu π π π π π π πAliyehama ukatoliki haujui ukatoliki vizuri
wengi wao uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo ni finyu (IQ Ndogo)
Waliozaliwa kwenye madhehebu au Didi nyingine sina neno juu yao kwani wao wanasikia na kulishwa sumu
Narudia aliyehama Rc hana uwezo wa kuisimamia familia yake.
Ni sehemu gani kwenye Biblia imeandikwa kanisa ni moja takatifu katoliki la mitumeKanisa ni moja, Takatifu, Katoliki la mitume.
Mengine ni madhehebu, Ila kanisa ni moja.
Amri ya kanisa, Toa zaka na changia kanisa.Madhaifu ya wachache hayaondoi umuhimu na mema ya kanisa