Uchaguzi 2020 RC Gambo adaiwa kusuka mpango wa kuandaa wazee wa mila ili wamwombe agombee ubunge Arusha

Anataka aende akaitwe mheshimiwa tu kama kina Jah people na Kibajaj
Ubunge na Ukuu wa Mkoa upi una thamani zaidi kwa madaraka na kipato?

In God we Trust
 
Nimekukumbuka enzi hizo pale railway station mwanza ulivyo kuwa unachalika kwa kuuza chai buffet
Mbona Chadema iliwatuma Mtei, Mbowe na Ndesamburo rip wakampigie magoti Lowassa awe mgombea wao wa urais?

Siasa ni sayansi!

In God we Trust
 
Halafu wanaopanga hii mikakati wawe wanafikiria, huyo kivuo hawaoni ilo jina ukitanguliza pesa tu lazima avujishe siri zote..........
 
Acha fitna za kipumbavu ,kwani hao ndio wapiga kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila laheri RC Gambo!! Sasa ni zamu yako ya kuchukua Jimbo, Wananchi wa Arusha wanataka siasa za kimaendeleo.
 
Kikubwa ni kufutwa kwa Chadema Arusha mjini

Chadema imechelewesha maendeleo Arusha

Mkuu wa nchi na mwenyekiti wako anasema “maendeleo hayana chama”. Walio chini yake na hata bungeni wanasema “serikali inatekeleza ilani ya CCM”.

Pale mnaposhindwa kuleta maendeleo sehemu fulani ya nchi - mnasema ni wapinzani!!

Dhana hizi haziwezi kuwa zote za kweli. Sioni maendeleo yaliyoletwa na CCM maeneo mengi ya nchi ambapo upinzani haukuwahi hata kuwa na diwani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…