Uchaguzi 2020 RC Gambo adaiwa kusuka mpango wa kuandaa wazee wa mila ili wamwombe agombee ubunge Arusha

We mtu wa chadema, akigombea unaumia nn? Sio haki yake?? Acha wivu wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni habari njema,ikiwa wazee wameona kwamba anafaa na wakamwombe tu,
Na hii inamaanisha kwamba wazee wamemwona kwa sababu hata hao wenyeviti Zelothe na Masawe ni wazee pia.
Na kwa sababu tunahitaji wabunge makini si vibaya huyo Gambo ni makini na anafaa
 
Ccm mnajiangusha sana jimbo la Arusha miaka yote,hamjifunzi!!
Migogoro kila inapokaribia uchaguzi,ndio maana mnapigwa chini kirahisi sana.
Mmedadisi wana Arusha wanamtaka nani?
Tatizo mnajifikiria wenyewe viongozi mnafaa wakati wananchi wana lao moyoni,kamwe hamtoboi.
 
CCM kama wanataka kushinda ubunge Arusha wawe na mgombea sahihi ila sio Gambo ... Waangalie vigezo ambavyo vikubwa ni awe Mchuganiani means amezaliwa na kukulia Arusha (mwenye meno ya dhahabu na lafudhi ya peponi) au awe mchaga mwenye influence na matajiri kwa CCM Right candidates ni Alberth Msando, Jastin Nyari, Deo, au Bananga akiunga juhudi, Muhindi wa Bushbuck, Benson, Double Cola, Kaburu wa Kibo, Mtumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia tena kusoma kuna vitu hujaelewa mpwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri unkol unataka nielewe na kuamini kama ww ulivyoamin kuwa;

"RC Gambo asuka mpango wa kuwashawishi wazee wa Arusha wamuombe agombee ubunge"


"Wazee hao wa mila wanaodaiwa kukusanywa kutoka maeneo mbambali jijini Arusha ambayo ni Terat,Muriet,Mkonoo,Mateves,Oljoro,Sakina na kata ya kati ambapo wametengewa zaidi ya sh,20 milioni ili kukamilisha zoezi hilo."

Ndo nasema hata wakimshawishi sio mbaya anatosha sana Arusha.[emoji41]

(Uncle B hizi ni siasa za kashfa na foul kama Msigwa alizomchezea Kinana)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah madaraka ivi kwann watu wanapenda sana madaraka aisee

121.
 
Kikubwa ni kufutwa kwa Chadema Arusha mjini

Chadema imechelewesha maendeleo Arusha

Chadema wanahusika vipi katika kupeleka maendeleo jimboni? ulikuta wapi watu wakipeleka kodi zao kwenye ofisi za chadema? Mwenye kukusanya kodi ndo mwenye jukumu la kupeleka maendeleo sehemu husika.
 
Hii taarifa mbona inafanana na taarifa za Peter Msigwa, halafu baadaye mje kumuomba radhi Gambo kwa kusema uongo siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…