This is madness. ABOUD na mabasi mengine yanatupia nyomi ya watu zaidi ya 45 ila eti kwenye kuzika watu wasizidi 10. Akili au matope haya? Hii ni kuficha watu wasijumlishe idadi ya vifo vya Corona ama nini?
Kwamba ni sawa makanisa na misikiti kuwa na watu zaidi ya 100 wakati mazishi yana watu kumi kama watu hawafi na corona kuna shida gani ya watu kuaaga mwili wa mpendwa wao?