RC Gambo: Mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 bila kujali ugonjwa uliomuuwa marehemu

RC Gambo: Mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 bila kujali ugonjwa uliomuuwa marehemu

Acha kuikashif africa kuna viongoz makini sana mfano kqa uchache M7 kagame Ado kenyata n.k sema na wapumbavu wapo wengi pia
Mazishi tu ndio yanaleta maambukizi watu wasizidi 10 ila bar, kanisani,maikitini, sokoni huko kote mambo yaende kama kawaida hakuna maambukizi.

Hizi akili za viongozi wetu. Afrika kuendelea ni jambo ambalo ni sawa na jiwe kuzaa mbuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is madness. ABOUD na mabasi mengine yanatupia nyomi ya watu zaidi ya 45 ila eti kwenye kuzika watu wasizidi 10. Akili au matope haya? Hii ni kuficha watu wasijumlishe idadi ya vifo vya Corona ama nini?
 
Kwamba ni sawa makanisa na misikiti kuwa na watu zaidi ya 100 wakati mazishi yana watu kumi kama watu hawafi na corona kuna shida gani ya watu kuaaga mwili wa mpendwa wao?
Wameshasau kua mazishi nayo ni sehemu ya ibada.
 
Back
Top Bottom