Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Mwambie gambo hiyo ni zuga tuu,..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazishi tu ndio yanaleta maambukizi watu wasizidi 10 ila bar, kanisani,maikitini, sokoni huko kote mambo yaende kama kawaida hakuna maambukizi.
Hizi akili za viongozi wetu. Afrika kuendelea ni jambo ambalo ni sawa na jiwe kuzaa mbuzi.
Wameshasau kua mazishi nayo ni sehemu ya ibada.Kwamba ni sawa makanisa na misikiti kuwa na watu zaidi ya 100 wakati mazishi yana watu kumi kama watu hawafi na corona kuna shida gani ya watu kuaaga mwili wa mpendwa wao?